Bora umekuja, nimetafuta sana comments yako holaaaaWangu alikuwa ana tabia ya matusi nahisi alikuwa ana pepo mchafu,nilitaka kumfunga ili akome ukenge wake, basi namchukia kuliko ibilisi ninavomchukia naona hakuwa mwanaume kamili
[emoji23][emoji23][emoji23]jamani mimi mbona niko my dearBora umekuja, nimetafuta sana comments yako horaaaa
Nyakati zina tabia ya kujirudia pengine mbeleni ikawa kama zama zilizopitaKipengele kweli babu, sijui hali itakuwaje kwa vizazi vijavyo
Wanaume mnapenda kulalamika sana, sisi wanawake vitu vingi huwa tunapuuzia Ila na nyie mna kero sema wanawake tunasahau harakaHuu uzi umenichekesha na kunishangaza sana.
Inamaana kwenye mahusiano wenye kauli za maudhi ni wanawake tu? Coz naona humu wanawake siwasikii wakitoa kauli za wanaume zinazokera
Sista Heaven Sent hebu ninong'oneze basi
Huyo alijiropokea tu Ila ana mpenda mkewe, wanawake wengi wakivurugwa hujiropokea lolote na kusahau nyie ndo mna Baki nayo moyoniMkuu wanawake wote akifikisha umri wa miaka 18 nakuendelea akili zao zinafanana kwa kiasi kikumbwa, kuna jama moja tunafamiana Ana watoto watano na mkewe wakiwemo mapacha.....ila majuzi alimtamkia Mme wake kwamba anajutia kuolewa na Fala eti hata hawezi kazi za chumbani eti "is not a man enough for her"
Jama amehaha hana jinsi wapi wakupeleka watoto watano amemzira tu ila bado wanaendelea kuishi wote
Mazingira ya kawaida kama familia kuna ugomvi mdogo unaotokea ila unasababisha mwenzako kutoa vilivyomo moyoni mwake alivyo hifadhi kwa muda mrefu na usidharau kauli ya mwanamke wanaimanisha mara nyingi......Duuh hatarii
Ni mazingira gani yalitokea hadi akaambiwa hivo
'' kunihudumia unanihudumia, kunijali unanijali lakini najikuta sikupendi tu ujiongeze na wewe" ...hii kauli sitaisahau niliamua kusepa kimya kimya mwisho akianza kunitafuta nikamwambia na Mimi nimejikuta tu simpendi, Hadi Leo anajifanya rafiki namimi namchora tu.
You're rightWanaume mnapenda kulalamika Sana sisi wanawake vitu vingi huwa tunapuuzia Ila na nyie mna kero sema wanawake tunasahau haraka
ππDaaah kwnye hicho kipengele cha kuhudumia aisee mie watanisamehe tu sinaga hela mamaeee
Na unakuta hauna hela kweli. Aiseee hii kitu huwa inauma sana. Yaani mtu hajui vyanzo vyako vya mapato vipoje, hajui unaishi vipi mjini, ila anataka akisema naomba 50,000 utoe on the spot, ukiwa hauna basi wewe ni bahili haumpendi yeye.
Mpaka huniachi[emoji23][emoji23][emoji23] halafu
Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni zoba....hunitaki [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jitahidini Basi mpendeze.Hii ni chuga chalyangu [emoji23][emoji23][emoji23] huku ni ma old sculi tu mama la mama
Huu uzi umenichekesha na kunishangaza sana.
Inamaana kwenye mahusiano wenye kauli za maudhi ni wanawake tu? Coz naona humu wanawake siwasikii wakitoa kauli za wanaume zinazokera
Sista Heaven Sent hebu ninong'oneze basi
Heheheh sawa mama la mama tutarekebisha io maniaj ya swagga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jitahidini Basi mpendeze.
Nguo simple tu za mtumba unatoka fresh..siyo unavaa mashati na masuruali yanapwayaaa..utadhani mgomba umevalishwa nguo jamani!!
Mimi napenda old school man maana mimi mwenyewe old school siendi na mirindimo ya dunia..ila Sasa isiwe too much,[emoji21]
Hahahah mazoba tuthaminiwe jamani πππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe una uzoba gani??
Hivi unawajua mazoba wewe??[emoji1787][emoji1787]
Mwanaume haitakiwi uwe mpole kupita kiasi..upole ukizidi unapoa.
Sasa mwingine kila kitu unachomwambia anakubali,ukimuonea anakubali,Kama kasuku hivi..chaa!
Kwahiyo akikuropokea "Lione unakuwa kama toto la kike bana" kwahiyo hapo mjuba anaota papuchi au?Mazingira ya kawaida kama familia kuna ugomvi mdogo unaotokea ila unasababisha mwenzako kutoa viliomo mwoyoni mwake alivyo hifadhi kwa mda mlefu na usidharau kauli ya mwanamke wanaimanisha mara nyingi......