Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Uluchokifanya ni kuweka grenade mfukoni
 
Wangu alikuwa ana tabia ya matusi nahisi alikuwa ana pepo mchafu,nilitaka kumfunga ili akome ukenge wake, basi namchukia kuliko ibilisi ninavomchukia naona hakuwa mwanaume kamili
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Matusi anakutukana wewe au, anafanya complementary tu akiwa anapiga story
 
Hamna tusi baya kama linalohusisha manhood! Au mwanamke umtukanie hedhi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ atakuchukia hadi siku ya mwisho. Ndio tusi pekee linaweza kumfunga mdomo mtoto wa kike chap kwa ukali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee mie nahisi nimerogwa yaani kumpa hela manzi daah naweza tundukiwa hta dripu kwa kuumwa kisichojulikana[emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe ndio ulistahili kile cheo cha bahiliπŸ˜‚
 
Siku akiamua tu analianzisha ujue Kuna watu Wana magonjwa ya akili huku wanataka mahusiano
Sema alikuwa anakuchamba sana hadi unaufyata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Amnaa
Namanisha Mapenz ya dhati yale mnatembea kukushika Mkono nini Au shati kwa nyuma hivi, basi tu afurah nafsi yake.
Yani hafichi mapenzi yake aliwahi nikiss tukiwa kwnye gari alaf tulikua tumesimama na gar halikua limejaza
Mama mama mama mama maMa!!!!!
Hamja achana bado?
 
Nadhani hii ndio industry ngumu kuliko zote πŸ˜…
 
Hapana kwa kweli sipendi Mambo ya kijinga hasa matusi hovyo huo ni ukosefu wa adabu na heshima, mwenyewe najua matusi Ila why kutukana hovyo hyo naona ni mental case
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…