Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

I thought you worked on your income as a revenge..sadly you just made her to be afraid of you. And finally she became an actress, as she pretend to please you!
 
😂😂😂. Mkuu hapo umenigusa hio kauli ya "una gubu sana". Hafu mtu unaambiwa hivyo hata haujui maana ya gubu ni nini.. inabidi kupekua kamusi nk.
 
Una moyo..huenda wewe ni mmoja wa watakatifu mtakaoiona pepo mkuu.
 
😂😂😂. Mkuu hapo umenigusa hio kauli ya "una gubu sana". Hafu mtu unaambiwa hivyo hata haujui maana ya gubu ni nini.. inabidi kupekua kamusi nk.
Muhimu sana, hio kauli unaambiwa ukilalamika kuwa mbona unchezewa faulo za wazi wazi 😅
 
Umenikumbusha movie moja ya black Americans inaitwa "Why did I get married" kuna mdada anaongea huyo kama kameza kanda
Yule mwanamke alikuwa ni mental case walahi😂😂😂 watu mko vacay ila imagine mkeo ni so stubborn kiasi kwamba mnaonekana vituko. Thats the reason why successful black dudes go for white women because of their warmth and understanding nature!
 
"Ukinichoka Nambie.." ameirudia mara 3 kwa nyakat Tofaut.. nikaona Huyu wacha nimuachie Aende..

nipo tu..namchora anavyohanya na Wajuba.
Heheheh hujamwambia lakini mzee 😂😂😂! Ila wanawake wana kauli chafu kweli yani...Sasa hapo ni kuwa anataka umpe go ahead wakati kashacheza faulo tayari
 
Hapa nashindeaga paelewa[emoji23][emoji23]
We always fall for bad boys. Yaan tunapenda hekaheka kupelekeshwa. Ila jaman mpole no. Ilimradi asiwe abusive kama kupiga na kadhalika. Mpole mwenyewe hapana naamini nitamwonea
Aisee kumbe mpo wengi ....
 
We jamaa kweli mshamba wa Tunduru.

Demu amekuchana ukweli ndo umpe adhabu ya mimba?

Nadhani ungemwambia kwamba sio hadhi yako ndo ungekuwa umelipa kisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…