Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
"Ukinichoka Nambie.." ameirudia mara 3 kwa nyakat Tofaut.. nikaona Huyu wacha nimuachie Aende..
nipo tu..namchora anavyohanya na Wajuba.
nipo tu..namchora anavyohanya na Wajuba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I thought you worked on your income as a revenge..sadly you just made her to be afraid of you. And finally she became an actress, as she pretend to please you!" Aisse, mama pendo na mme wake ndio wanakula laifu, sisi wengine ni wasindikizaji tu " Hilo nilirushiwa na bidada kipindi ndio Kwanza tuna anza anza maisha...!!! sikumsemesha kwa pale, ila siku ya pili katoka kwenye mishe zake akakuta kitasa kipya, aliponipigia simu nikamwambia atizame kwenye simu nimemtumia hela ya nauli ya kwao, na mabegi nimeshayatanguliza na basi. Kisha nikabadilisha laini na kuhama mtaa kwa miezi minne. Nilipomrudisha na kumueleza kosa lake, alibaki anashangaa tu, ila ninaishi nae mpaka sasa, watoto 3, nikikohoa tu, anaruka, Na akitaka kuongea anaomba ruhusa, Kisha anaongea taratibu kwa kuchagua maneno...[emoji41][emoji41][emoji41] !!!!
Umenikumbusha movie moja ya black Americans inaitwa "Why did I get married" kuna mdada anaongea huyo kama kameza kandaNa wew hua unauchonga kama black American, women's [emoji3][emoji3]
😂😂😂. Mkuu hapo umenigusa hio kauli ya "una gubu sana". Hafu mtu unaambiwa hivyo hata haujui maana ya gubu ni nini.. inabidi kupekua kamusi nk.Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage
Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika mahusiano huwa tena sio raha bali karaha tu na hapa ndipo hekima hutakiwa ku kick in. Hii ni kutokana na mmoja kuacha kuweka efforts to make it work au kupuuza hisia za mwenzie.
Hali hii huambatana na kauli za kukaraisha nafsi ambazo mmojawapo huzitoa just to make the situation worse. Lets share zile kauli zilizowahi kuchafua nafsi zetu! Nakumbuka hizi:
"We mbona hauko smart kama vijana wenzio"
"Una gubu sana we mwanaume hadi unaboa"
"Sa utapigia wanaume wenzio simu hadi lini?"
"Yani mwanaume umezubaa tu upo upo tu kama lizoba"
"Sasa kama mtu humuamini unakuwa nae wa nini..si umuache tu!"
Huna haya, si nilikwambia sikutaki
Una moyo..huenda wewe ni mmoja wa watakatifu mtakaoiona pepo mkuu.Mi mwanamke flani nilimpenda kwa moyo mmoja pamoja na kumpa time yangu.Lakini hakuyaona nimezaa naye mtoto mmoja.Keshanicheat sana vya kutosha na wanaume tofauti pamoja na kukuta naked photo anawatumia wanaume wengine.Lakini basi kwa vile nilikuwa namuheshim sikumtukana wala kujibishana naye niliamuwa kumuacha kimya kimya,Basi kakaa akaamuwa kujirudi na kuomba msamaha usiku na mchana na kusema amebadilika anajutia yote,basi nikarudisha moyo nikamsamehe.Akanialika niende kwake nimtembelee pia mi mwenyew nilikuwa nimmis mwanangu kumuona nikasahau yote nikaenda ni mkoani.
Basi ile kufika mkoani kanikaribisha na maisha yakaendelea,tukiwa happy mwanangu akafurahi kuniona.Hata siku moja sikugusia wala kuongelea yale makosa aliyofanya,nikaona ni kurudisha mambo nyuma na kuzua migogoro upya sikugusia kabisa, ki ukweli mi sipendi tafrani kwa kuwa huko nyuma nshapata matafrani nusura yantoe roho ya maisha lakini.
Ile tunaendelea kuishi nkaona mwenzangu kama anabadilika akanza kununa bila sababu, ye kutwa mzima ni simu na tv tu.Mnakaa sebuleni unachoomuuliza ndo anachojibu hamna siku mkae hata muongelee mustakabali ya maisha yetu.
Basi siku moja mi nkaenda mjini make huko tulipo ni kijinini nilienda kununua mahitaji,ile kurudi mida ya saa moja jioni nakuta staff wenzie wapo sebuleni wanatazama mpira afu wa kiume.Sasa mi nikamuuliza mbona una ujasiri wa kuleta wanaume nyumbani kwako huoni hata haya kwa nini hata hukunifahamisha.
Alichonijibu ni kuwa sasa mi ningefanyeje watu wamekuja kutazama mpira ningewafukuza mi nkamjibu hichi so kibanda umiza basi kanununa.Hao jama wameoa na wana tv makwao.
Sasa mi nkajiuliza mfano jamaa mmoja niache ye kaenda mjini mi niende kwa mkewe nimwambie shem hebu washa tv nikae nijitanue kwe sofa mmewe akija atanifikira vipi.
Basi mi nkaondoka kuna kuna mtu alikuwa kaniagizishia vitu vyake nimpelekee.Ile narejea sijawakuta kumbe kawaambia mme wangu hataki kuwaona na hataki mje hapa mi wala sijuwi.Kesho yake kanuna balaa,ilivo fika usiku kaenda lala mi kuna movie nabaki naifatilia kufika saa 4nne usiku nkasema ngoja nkalale mtume!!! kanifungia mlango wa chumbani gonga! mlango wapi nikaamuwa nilale sebuleni.
Usiku mida ya saa kumi na moja kajiamsha anajifanya kushangaa eti ananiplz nikalale chumbani.Mi nkamjibu hapa pia ni pazuri we kalale tu.Akaenda kulala kumekucha yupo mkavu hata kuomba msamaha wala kujutia hamna yupo happy tu.Kuna kipindi Sexy ananijibu hajiskii,mara nimechoka hayupo romantic kabisa mda mwingine nkawa najihisi nimelala brother hata swala la usafi ni Zero .Nikaamuwa kuondoka now nasikia karudia kudanga tena.
Muhimu sana, hio kauli unaambiwa ukilalamika kuwa mbona unchezewa faulo za wazi wazi 😅😂😂😂. Mkuu hapo umenigusa hio kauli ya "una gubu sana". Hafu mtu unaambiwa hivyo hata haujui maana ya gubu ni nini.. inabidi kupekua kamusi nk.
Yule mwanamke alikuwa ni mental case walahi😂😂😂 watu mko vacay ila imagine mkeo ni so stubborn kiasi kwamba mnaonekana vituko. Thats the reason why successful black dudes go for white women because of their warmth and understanding nature!Umenikumbusha movie moja ya black Americans inaitwa "Why did I get married" kuna mdada anaongea huyo kama kameza kanda
Heheheh hujamwambia lakini mzee 😂😂😂! Ila wanawake wana kauli chafu kweli yani...Sasa hapo ni kuwa anataka umpe go ahead wakati kashacheza faulo tayari"Ukinichoka Nambie.." ameirudia mara 3 kwa nyakat Tofaut.. nikaona Huyu wacha nimuachie Aende..
nipo tu..namchora anavyohanya na Wajuba.
Alkua mke wa Jai white [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenikumbusha movie moja ya black Americans inaitwa "Why did I get married" kuna mdada anaongea huyo kama kameza kanda
Aisee kumbe mpo wengi ....Hapa nashindeaga paelewa[emoji23][emoji23]
We always fall for bad boys. Yaan tunapenda hekaheka kupelekeshwa. Ila jaman mpole no. Ilimradi asiwe abusive kama kupiga na kadhalika. Mpole mwenyewe hapana naamini nitamwonea
Huwa naitazama black coffee scene za mdada mmoja tuu hahaaa anaropoka hata maneno yasiyokuwepo ktk dictionaryUmenikumbusha movie moja ya black Americans inaitwa "Why did I get married" kuna mdada anaongea huyo kama kameza kanda
We jamaa kweli mshamba wa Tunduru.Enzi hizo nimetoka zangu tunduru huko kuja dar kimasomo hapo nilikua mashamba mshamba iv.
Kuna nyumba tulikua tumepanga Sasa pale ndani Kuna mdogo wa mama mwenye nyumba. Yule dada kutokana na ushamba wangu alikua ananikejeli kwa kunambia Mimi hata nikivaa nguo mpya hazinipendezi Yan bado nakua kiboya boya,,,si unajua Tena yeye alikua analinga coz tulikua tumepanga kwao pia walikua wanajiweza financial
Kama unavyojua mungu hayupo bize totally sometimes huwa anachungulia duniani na kutoa shavu kwa watu Kama sisi
Nilivomaliza chuo nilikaa kidogo mtaani halafu nikatimkia zangu dubai kwenye mambo ya mafuta haya, nilivorud bongo sikukaa sana nikanyoosha ukrain, yule dada akazipata habar kwamba jamaa saiv sio Kama zaman. Kuna siku nimekaa zangu nashangaa namba ngen inapiga wasap kupokea iv kumbe ni yeye, tukapiga stori kadhaa na ikawa desturi yetu kupigiana na kuanza kutongozana
Yule dada sikutaka kumchapa Ila kutokana na ameshawahi kunidharau nikasema hapa ndo sehemu yake ya kuvuna alichokipanda. Nilivorud bongo kwa Mara nyingine nikamvuta hotel tukakaa Kama wk iv akiwa anatumikia adhabu na kwa bahat mbaya akashika mimba nami nikamkomoa hapo hapo nikampa vipande vyake ndo ukawa mwisho wa stor mm na yeye