Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Heheheh command kama zipi unazipendaga? "Rara chini nikurenge"? [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
No jamani. Kuna ile tu mwanaume akiongea basi adabu unaishika. Mafahali wawili hawakai zizi moja. Lazima mmoja ajishushe. Yaan ukiachiwa maagizo unahakikisha umekamilisha maana unajua eh baba akirudi nitashaa. A man should have a voice bwana. Sasa jamani nikapate mume kama pili..pili si nitajikuta na makofi nampiga? Nataka ujinga mimi?[emoji1787][emoji1787] sasa kama sikuheshimu kuna raha gani wewe kuwa mwanaume? Nichangamshe. Nipe presha nilalamike kwenye committee ya mashost zangu jaman Extrovat ananinyanyasa kisa nanpenda... nilie lie. Yaani. Kwanini upooze[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha hakuna trust me. I am an ordinary lady. I want that thing let q man be a man. I hate competitions. Nikishindwa basi nutaondoka ila no battles. Mwanaume na asimame nafasi yake
Hahahah thats the shiyt i like. Hongera kwa ku keep it real!
 
Hahahah ondoa shaka, maombi yako yamejibiwa😂😂😂! Im good at putting a woman in her place...Proudly a black king!
 
Haki wanaume wa jf mna gubuuu[emoji119][emoji119][emoji119]

Nimecheka sana lakini, poleni pia kwa maumivu. Hope with time mtapona.
Yaan utafikiri sisi hawatuudhi jamani wanaume wanaongea mwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…