Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Yule mkurya aliniambia, "dada zangu wamesema hunifai siwezi kukumudu". Aiseeeeee.

Ila maisha yalisonga
Duh, hii ilikuwa major hit! Pole sana glad uliweza move on! Sikuhiz umepotea mpenzi...nani kakuficha aisee.?
 
umekaakaa tu hata hujishughulishi...

hapo kwa wiki anatoa 10,000 na kila kitu kiko Sawa..

dude learn to appreciate
Hahahah hatariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila ulikuwa unajishughulisha na nini sasa kisichoonekana maana mambo yalikuwa sawa.
 
Misimamo wetu na itikadi za ki old school kwa watoto mboga nane wanaona tunawanyanyasa. etiπŸ˜‚
 
Haki wanaume wa jf mna gubuuu[emoji119][emoji119][emoji119]

Nimecheka sana lakini, poleni pia kwa maumivu. Hope with time mtapona.
Nani ana gubu wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si tuko imara kama CCM.
 
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Hivi kumbe huyu ni mpare
Ndiyo maana kwake kumpa pesa mwanamke ni mgogoro wa nafsi! Tusimlaumu sana!
Njoo nikupe pesa basi mrembo naona unalia lia sana. Come and take some to go shopping😍
 
Dah kuna watu mnatolewa kauli hizo na wapenzi wenu,basi kuanzia leo itabidi nibadirishe mtazamo kwa mke wangu maana sijawahi kutolewa maneno ya hivyo ingawa sometimes naona kama anazingua,kumbe sijakutana na makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heh... mimi nashukuru Mungu hatukuwa kusturve lakini tumelelewa maisha ya kiuafrica. Kila kazi tunafanya. Jumlisha na kusoma kwa masista tena boarding toka primary kila kazi unafanya aisee. Tena kwa mapenzi yote. Tatizo kuna utakaokua unawafanyia yote hayo na wasiappreciate hata kitu. Maybe amewahi kuwa na mtu akamtenda wakati she gave her all. Lakini pia waweza mfanyisha yote hayo ila ukaja ishia oa slay queen. Namwelewa to some extent. Tatizo linakuja nyie wanaume ndo mnajua mnaomuoa nani. Hapo tu
 
Obvious. Thats the best thing ever to offer to a man. Ila kuna ambao hawadeserve aisee. Maana tunapoongelea hili usisahau pia wanawake tuna uvumilivu sana lakini kuna wanaume jaman hapana. Kwanza dharau. Anakupa maneno ya karaha. U completely feel tortured. No vile tuu hatujaandika hapa
 
Misimamo wetu na itikadi za ki old school kwa watoto mboga nane wanaona tunawanyanyasa. eti[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hizo mboga 7 tunakulaga yet tuna adabu. Lazima uniendeshe. Unichangamshe akili izunguke kama feni. Yaan ndo akili inapevuka mara dufu. I can live all sorts of life. Ya shida na raha. Ndo faida ya kuishi boarding maisha. Kudeka tunadeka ila inTegemea na mazingira
 
You can never feel tortured in a presence of a real man. Kwanini nikudharau if you really good in manners.
 
Hahahahahah thats what im talking about babe! Yani unazidi kunifurahisha ujue 😍😍😍 "inategemea na mazingira" hapo ndipo tunaposhindwana na hawa ma slay queen!
 
Sielewei tu but mie nautazama kama uvivu tu...I'll never marry a lazy woman. Those are the quick signs of a irresponsible woman halafu hawawezagi kuhimili shida.
I wonder maybe mtu kama huyo alikuwa abused before.
 
Hongera mkuu umepata mke.😁
 
Hahahahahah thats what im talking about babe! Yani unazidi kunifurahisha ujue [emoji7][emoji7][emoji7] "inategemea na mazingira" hapo ndipo tunaposhindwana na hawa ma slay queen!
Tatizo hatuko real. Kuna wengine mboga saba halaf wamelelewa kabosa kiafrica ila kwa nje wanatuchezea drammars. Weee... kwetu ni wakali. Na imepelekea sisi kujielewa zaidi. Yaan hakuna ujinga. Ukikosea unawaza niende kwa nani anikor na hili balaa. Kwa mamdogo. Shangazi, babu ama babamkubwa? Yaan lazima ujur nyeupe na nyeusi
 
Sielewei tu but mie nautazama kama uvivu tu...I'll never marry a lazy woman. Those are the quick signs of a irresponsible woman halafu hawawezagi kuhimili shida.
I wonder maybe mtu kama huyo alikuwa abused before.
Kuna binam yangu aliolewa last year... ndoa ya matashtiti. Haijafika mwaka imekufa. Mboga saba lkn nje drammars. Nadhan pia alikua na kauli mbaya kwa mumewe maana funancially mwanaume kwao wa kawaida zaidi na sana sana. Nadhan atakua alikua anamtishia kwetu hatunaga shida kama kawaida na hashuo za hapa na pale maana ndo kauli zake. Basi ndo hivyo mwanaume kaenda chumbia mwanamke mwingine na ujauzito juu[emoji23]
 
Njoo nikupe pesa basi mrembo naona unalia lia sana. Come and take some to go shopping[emoji7]
Teh teh hata sihitaji pesa zako my dear! Huwa namuonea tu huruma in advance huyo mwanamke utakaye muoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…