Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misimamo wetu na itikadi za ki old school kwa watoto mboga nane wanaona tunawanyanyasa. eti😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua unaweza kuwa na principals na usiwe toxic? Lazima mwanaume awe na principals. Na lazima mujuane mapema. Vitu munavyoportray mwanzoni mwa mahusiano ndo mazoea ya milele hayo. Ukija lalamika inabidi tushangae
Njoo nikupe pesa basi mrembo naona unalia lia sana. Come and take some to go shopping😍[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Hivi kumbe huyu ni mpare
Ndiyo maana kwake kumpa pesa mwanamke ni mgogoro wa nafsi! Tusimlaumu sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah mi mapema tu huwa nataka ujue kuwa utaishi na mimi kwa amani ukiwa unajua mipaka yako. Kwangu mwanamke anapika, kufua na kuosha vyombo na kulea na wala hamna room ya majadiliano kuhusu hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mwenzako huyo kila tukifikia hapo ubishi unaanza. Anataka tupangiane zamu za kudeki
Obvious. Thats the best thing ever to offer to a man. Ila kuna ambao hawadeserve aisee. Maana tunapoongelea hili usisahau pia wanawake tuna uvumilivu sana lakini kuna wanaume jaman hapana. Kwanza dharau. Anakupa maneno ya karaha. U completely feel tortured. No vile tuu hatujaandika hapaHahahah ukijifanya kichaa kuna pilipili mbuzi pia. Cha muhimu kujitambua tu na kukaa katika nafasi yako always. Kuna raha mwanamke akiwa calm na msikivu. Makes you feel like a man and thats the most pleasurable feeling a woman can ever offer to her man.
[emoji23][emoji23][emoji23] hizo mboga 7 tunakulaga yet tuna adabu. Lazima uniendeshe. Unichangamshe akili izunguke kama feni. Yaan ndo akili inapevuka mara dufu. I can live all sorts of life. Ya shida na raha. Ndo faida ya kuishi boarding maisha. Kudeka tunadeka ila inTegemea na mazingiraMisimamo wetu na itikadi za ki old school kwa watoto mboga nane wanaona tunawanyanyasa. eti[emoji23]
You can never feel tortured in a presence of a real man. Kwanini nikudharau if you really good in manners.Obvious. Thats the best thing ever to offer to a man. Ila kuna ambao hawadeserve aisee. Maana tunapoongelea hili usisahau pia wanawake tuna uvumilivu sana lakini kuna wanaume jaman hapana. Kwanza dharau. Anakupa maneno ya karaha. U completely feel tortured. No vile tuu hatujaandika hapa
Hahahahahah thats what im talking about babe! Yani unazidi kunifurahisha ujue 😍😍😍 "inategemea na mazingira" hapo ndipo tunaposhindwana na hawa ma slay queen![emoji23][emoji23][emoji23] hizo mboga 7 tunakulaga yet tuna adabu. Lazima uniendeshe. Unichangamshe akili izunguke kama feni. Yaan ndo akili inapevuka mara dufu. I can live all sorts of life. Ya shida na raha. Ndo faida ya kuishi boarding maisha. Kudeka tunadeka ila inTegemea na mazingira
Sielewei tu but mie nautazama kama uvivu tu...I'll never marry a lazy woman. Those are the quick signs of a irresponsible woman halafu hawawezagi kuhimili shida.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heh... mimi nashukuru Mungu hatukuwa kusturve lakini tumelelewa maisha ya kiuafrica. Kila kazi tunafanya. Jumlisha na kusoma kwa masista tena boarding toka primary kila kazi unafanya aisee. Tena kwa mapenzi yote. Tatizo kuna utakaokua unawafanyia yote hayo na wasiappreciate hata kitu. Maybe amewahi kuwa na mtu akamtenda wakati she gave her all. Lakini pia waweza mfanyisha yote hayo ila ukaja ishia oa slay queen. Namwelewa to some extent. Tatizo linakuja nyie wanaume ndo mnajua mnaomuoa nani. Hapo tu
Hongera mkuu umepata mke.😁Dah kuna watu mnatolewa kauli hizo na wapenzi wenu,basi kuanzia leo itabidi nibadirishe mtazamo kwa mke wangu maana sijawahi kutolewa maneno ya hivyo ingawa sometimes naona kama anazingua,kumbe sijakutana na makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Do not forget there are immatured men. Wao bado wana have fun.You can never feel tortured in a presence of a real man. Kwanini nikudharau if you really good in manners.
Tatizo hatuko real. Kuna wengine mboga saba halaf wamelelewa kabosa kiafrica ila kwa nje wanatuchezea drammars. Weee... kwetu ni wakali. Na imepelekea sisi kujielewa zaidi. Yaan hakuna ujinga. Ukikosea unawaza niende kwa nani anikor na hili balaa. Kwa mamdogo. Shangazi, babu ama babamkubwa? Yaan lazima ujur nyeupe na nyeusiHahahahahah thats what im talking about babe! Yani unazidi kunifurahisha ujue [emoji7][emoji7][emoji7] "inategemea na mazingira" hapo ndipo tunaposhindwana na hawa ma slay queen!
Kuna binam yangu aliolewa last year... ndoa ya matashtiti. Haijafika mwaka imekufa. Mboga saba lkn nje drammars. Nadhan pia alikua na kauli mbaya kwa mumewe maana funancially mwanaume kwao wa kawaida zaidi na sana sana. Nadhan atakua alikua anamtishia kwetu hatunaga shida kama kawaida na hashuo za hapa na pale maana ndo kauli zake. Basi ndo hivyo mwanaume kaenda chumbia mwanamke mwingine na ujauzito juu[emoji23]Sielewei tu but mie nautazama kama uvivu tu...I'll never marry a lazy woman. Those are the quick signs of a irresponsible woman halafu hawawezagi kuhimili shida.
I wonder maybe mtu kama huyo alikuwa abused before.
WoowHongera mkuu umepata mke.[emoji16]
Teh teh hata sihitaji pesa zako my dear! Huwa namuonea tu huruma in advance huyo mwanamke utakaye muoa!Njoo nikupe pesa basi mrembo naona unalia lia sana. Come and take some to go shopping[emoji7]