Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Word.
 
Wewe unaweza ukampa pesa mwanamke mjeuri na mbishi? Basi hata sisi hatuwezi kuwapa pesa wanaume malaya na wanyanyasaji!
Shida ni hio definition yako ya unyanyasaji tu. Hapo ndio mie huchoka mwili na roho.
 
Wote kuanzia mama mkwe, mawifi watakula kichambo akifuatiwa na huyo mwanaume suruali mpaka wanikome wakafie mbele huko wao si Wana uzazi wazae mfyuuu
 
She has to be ready for that maana ni ngumu kum convince mwanamke wa kileo kwamba aache kazi alee familia. Utaishia kuambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje??? Hapo ndipo utajua hujui [emoji23]
Ndio maana nikasema practically ni ngumu. Ila akitaka kuwa free from financial responsibilities asitegemee itakuwa rahisi.

Best option ni kumfungulia biashara inayompa uhuru wa muda, au kumuenroll kwenye biashara zangu while paying her a salary.
 
that's bullshit nifanye kazi na partner/mume anilipe mshahara?!
 
that's bullshit nifanye kazi na partner/mume anilipe mshahara?!
Tunaongelea wanawake who insist on having their own money separate from hela ya mume / familia.

And yes its done sasa how else would you expect it? 50/50 shares into a business I founded and ran for years? Au uwithdraw pesa kwa matumizi yako any time you feel like it?
Tell me, how else would it be done bila predefined monthly stipend?
 
She has to be ready for that maana ni ngumu kum convince mwanamke wa kileo kwamba aache kazi alee familia. Utaishia kuambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje??? Hapo ndipo utajua hujui [emoji23]
Yesu wangu [emoji23][emoji134][emoji23][emoji134]
Kuacha kazi???
 
Mfungulie yake mpya.
 
Kwa uzoefu nilionao kwa wanawake walioacha kazi for the sake of Ndoa!!

Mtu asijaribu hilo Tendo
Yaani nawaza wazazi wangu walivyojinyima,wameishi kwa shida ili wanilipie ada..halafu mume anakwambia acha kazi [emoji134]
Aki wazazi wataniona zuzu mno.. mbona wataanza kunipeleka kwenye maombi Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida zote zile za nyumbani,ada ilivyotolewa kwa shida aseee wawe na huruma na wazazi wetu kama wanavyowaonea wazazi wao huruma

Nitaacha kazi kwa sababu zingine iwe kwa kufukuzwa au udhaifu (naumwa)
Ila hivihivi tu mimi kazi siachi wallah!

Kwanza mume atakunyanyasa hadi ushangae.
 
And that was the best option niliyoitaja mwanzo kabisa.
yes Ila pia iwe na usimamizi maybe unahitaji report kila week or monthly

manake wanawake saa nyingine tuna ujinga mwingi hasara provider akiwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…