Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Word.Kejeli zao huwa zina maanisha kitu sema wanafanyia cushioning ili kidume usije uka over react maana mengine yanakuwaga deep sana kwa ground! Kuna tofauti kubwa Ke akikwambia:
We mwanaume ndio huna akili kabisa yani sasa si ungeongea na mrajisi kwanza.
VS
Ha hah but mume wangu mi naona kama ungewasiliana na mrajisi kwanza ingekuwa jambo la akili zaidi mpenzi.
Katika hizi kauli mbili lengo ni kukosoa ila ya juu iko cold/harsh kiasi inaweza amsha hisia za hasira kwa mlengwa kwa kuona kama amedharaulika ila kauli ya pili ina warmth which means imekosoa constructively kiasi mtu hawezi feel offended kabisa.
Wanawake wengi hawajui the art of communication. Wengi ni good speakers but not good communicators.