Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Ulevi na Umalaya ni kati ya hizo sifa mbaya ninazoziongelea hapa! Je ni wanaume wangapi hawana hizo sifa?
Duh, kwahio mtu akinywa pombe ni mlevi? Umalaya inategemea na mtu na mtu! Binafsi sina hizo tabia so siwezi zungumzia ambao wanazo ila what i believe nikikosa satisfaction za kimapenzi kwa mwanamke nimependaye ndio naweza chungulia fursa mtaa wa pili. Ila if she gives me her all sina haja ya kuhangaika. Im a faithfull patner.
 
Wanaolalamikiwa ni wanawake wapumbavu ambao hawajitambui. Wanahisi kazi ni privilege ya kudharau mume.
Tatizo mkifanya makosa hamtaki kuambiwa! Mkiambiwa mnatumia kisingizio cha mke kakudharau kwa sababu ana kazi!
 
Sasa mbona mnalalamika kuwa hao wenye elimu ni pasua vichwa? Waoeni basi hao!
Ushaambiwa wife material haijalishi yuko mjini au kijijini ana Elimu au hana atabaki kuwa on her best behaviours.
 
Tofautisha kati ya mnywaji na mlevi! Kuna mtu anakunywa tu kidogo siyo hadi alewe ila kuna limtu linakunywa hadi linalala bar au linachelewa kurudi linaanza kumpiga mkewe!

Sasa kwenye umalaya usijisemee wewe tu na kama kweli mpo wanaume msio malaya basi ni wachache sana! Ninyi wenyewe si ndiyo mnasemaga hamna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja hivyo hata mkipata wanawake wenye sifa zote nzuri bado tu mtachepuka sasa mnafikiri sisi wanawake tunaposikia kauli kama hizo tutafanyaje?
 
Ila bia nakunywa ila sio za hadi kujikojolea na kulala bar au mtaroni.
Mie namoyo wa kuridhika.
 
kama nakunyamwa halafu hulewi...sasa unakunywa ili iweje?
ladha?
Bia sio tamu si bora unywe soda tu au Mo passion
 
Kuna mmoja nilukua nae kila ukimuuliza ratiba yake anakwambia "leo siku nzima nilikua kwa rafiki yangu" halafu rafiki zake wenyewe wakiume nikisepa kimyakimya na huyu nilienae naona ananiletea izo pigo, hana muda mrefu napiga chini
 
Una date vipi na mwanamke mwenye marafiki wa kiume tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Una date vipi na mwanamke mwenye marafiki wa kiume tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Aise ni shida kila nikifikilia kula tunda kimasihara ndio naongeza speed yani binafsi sipendi mtu ninaedate nae awe na marafiki wa kiume ata wakike wasioeleweka
 
Una date vipi na mwanamke mwenye marafiki wa kiume tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbaya zaid anakuambia "siweza kuacha kua naurafiki nao sababu nimesoma nao wengine tumekua marafiki tangu watoto watanionaje nikikataa kuwa karibu nao" alafu anataka umtangazie ndoa hapana kwakweli
 
Mbaya zaid anakuambia "siweza kuacha kua naurafiki nao sababu nimesoma nao wengine tumekua marafiki tangu watoto watanionaje nikikataa kuwa karibu nao" alafu anataka umtangazie ndoa hapana kwakweli
mwambie aolewe nao sasa.
 
Akili ya mwanamke ni contraversy

Zamani nilikuwa Ni a very good man very humble .

Nikajua gundua It won't work .

Nimeliwa very rude boy

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Duuh[emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…