Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Sasa mbona mnalalamika kuwa hao wenye elimu ni pasua vichwa? Waoeni basi hao!'Kunguru ni kunguru' iwe ya mjini au kijijini haifugiki ......mwana mke wife material elimu yake haiwezi kumzuia kuwa mke mzuri..........