Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

mimi kitu nimeshashindwa ni kupigiwa simu na wana tukapige pombe halafu kuendelea kukaa na manzi, hua namcancel kwanza..
 
mimi kitu nimeshashindwa ni kupigiwa simu na wana tukapige pombe halafu kuendelea kukaa na manzi, hua namcancel kwanza..
Hahahah lazma umkatae tu 😂😂😂 na uzuri yeye hapendi vikao vya ulabu namdanganya nakuja mda si mrefu hio ndio ntolee 😂😂😂
 
Ila bia nakunywa ila sio za hadi kujikojolea na kulala bar au mtaroni.
Mie namoyo wa kuridhika.
Basi hapa hatuongelei wanaume wa sampuli yako maana mko wachache sana hivyo hatuwezi kuwatumia ninyi kama sample! Basi kumbe ndiyo maana tunashindwa kuelewana sababu wewe unataka tuongee habari za kufikirika ambazo hazipo wakati mimi naongelea uhalisia uliopo kwenye jamii ambao wanawake wenzangu wengi wanakutana nao!

Wewe unataka tuassume kuwa wanaume wote siyo malaya wala walevi wa kutupwa ilihali huko nje wanaume wengi kama siyo wote wana sifa hizo na wameoa au wanakata kuoa wanawake wenye sifa nzuri! Ndiyo maana nikakuambia usijiongelee wewe kwenye haya masuala ambayo yanagusa jamii kwa ujumla na nakumbuka nilishawahi kukuambia hiki kitu!
 
Sawa bi. mkali 😅
 
kama nakunyamwa halafu hulewi...sasa unakunywa ili iweje?
ladha?
Bia sio tamu si bora unywe soda tu au Mo passion
Unaona sasa? Wanaume wenye fikira kama zako hamtakiwi kabisa kunywa pombe!

Kwahiyo wewe unakunywa ili ulewe uchelewe kurudi nyumbani si ndiyo? Mwe kazi ipo!
 
Sawa bi. mkali [emoji28]
Ndiyo kwahiyo tunapoongea haya msipende kusema eti tunapenda kubishana! Wewe kama kweli hauna tabia chafu basi una haki ya kupata mke mwema ila mimi humu kelele zangu ni kwa wanaume wenye tabia chafu nao kutaka kupata wake wema hiyo ndiyo ajabu!
 
Hahahah lazma umkatae tu [emoji23][emoji23][emoji23] na uzuri yeye hapendi vikao vya ulabu namdanganya nakuja mda si mrefu hio ndio ntolee [emoji23][emoji23][emoji23]
hata kama anapenda siwezi kwenda nae kabisa, nmewahi kwenda na manzi alafu uko nkakutana na pisi hoot alafu ikanielewa ilipojua nna manzi pale ikanikataa tna nliumia sana
 
hata kama anapenda siwezi kwenda nae kabisa, nmewahi kwenda na manzi alafu uko nkakutana na pisi hoot alafu ikanielewa ilipojua nna manzi pale ikanikataa tna nliumia sana
Hahaha unatoka nae siku moja moja in your own company lakini sio lazma na washkaji.
 
Unaona sasa? Wanaume wenye fikira kama zako hamtakiwi kabisa kunywa pombe!

Kwahiyo wewe unakunywa ili ulewe uchelewe kurudi nyumbani si ndiyo? Mwe kazi ipo!
yani kazi ya pombe ni kulewesha...sasa anaekunywa halafu halewi anakunywa ili iweje?...hana tofauti na anaeenda disco halafu hachezi au anaenda swimming pool halafu haogelei.

kulewa sio kosa ishu labda iwe ni frequency ya kulewa na magnitude(extent) ya kulewa.
 
Unaona sasa? Wanaume wenye fikira kama zako hamtakiwi kabisa kunywa pombe!

Kwahiyo wewe unakunywa ili ulewe uchelewe kurudi nyumbani si ndiyo? Mwe kazi ipo!
tunakunywa ili tusilewe ndo inabamba ila ukilewa inabamba zaidi ila sio chakari
 
Kumbe ulishanielewa ila tu ulitaka kubishana! Nilishaelezea kule juu mtu anatakiwa anywe hadi kiasi gani ila wewe unataka ligi tu hapa!
 
Kumbe ulishanielewa ila tu ulitaka kubishana! Nilishaelezea kule juu mtu anatakiwa anywe hadi kiasi gani ila wewe unataka ligi tu hapa!
wewe ulisema mtu anywe ila asilewe
 
Ukiwa member mkongwe huku jf attack kama hizo hazikosekanagi. Mtu anaamua akutolee ugumu wa maisha tu ghafla.[emoji23][emoji23][emoji23] Kaona we ndo mnyonge wake labda
Poleni Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi umegeuka comedy yaani nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Bwanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uliona kwenye movie gani hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unandanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…