mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
mimi kitu nimeshashindwa ni kupigiwa simu na wana tukapige pombe halafu kuendelea kukaa na manzi, hua namcancel kwanza..Hawa viumbe bana, kuna msemo mmoja nilikuwa napenda kuutumia kwa wahuni wangu tukiwa chuo...
"Hommies is over hoes"
au
"Niggaz is over hoes"
Incase tuna ratiba ya pamoja halafu manzi kaingilia ratiba huwa nam cancel tu! Wahuni kwanza mwanamke baadae. Hii ilijenga spirit ya wanaume kuthaminiana zaidi. Demu anapigwa sound ila wahuni lazma ratiba ziendelee.[emoji23]