miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ana tabia mbaya kweli. Mchokozii kama niniUkiwa member mkongwe huku jf attack kama hizo hazikosekanagi. Mtu anaamua akutolee ugumu wa maisha tu ghafla.[emoji23][emoji23][emoji23] Kaona we ndo mnyonge wake labda
Unamaanisha naongopa?Bwanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uliona kwenye movie gani hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unandanganya
Ndivyo itakavyokuwa bossTafuta mme atakaekufaa kuishi nae ukiwa unafanya kazi.
Simple.
Ukiwa mwaminifu kwa mkeo hutaona akinyanyua mdomo hovyo.Haya vizuri ila maneno yenu huwa yanaudhi mno
HapanaSasa kama una kidomo domo na ukiambiwa kitu husikii nikuchekee tu. Sindio uzoba mwenyewe.
Mwanaume wa kunielekeza tabia njema ni yule anayenipenda kwa dhati na si kinafiki.Hahah hatuwanyanyasi bana ila mkielekezwa tabia njema mnahisi mnanyanyaswa. Mtu kukuelekeza tabia njema sio lazma ule kichapo. Kichapo wanapewa wale much know wasiojua waongee lipi kwa wakati upi. Wanafyatuka kama chemba za vyoo vya uswahilini.
utamponza wifi yako huku ntampa jambajamba sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
No jamani. Kuna ile tu mwanaume akiongea basi adabu unaishika. Mafahali wawili hawakai zizi moja. Lazima mmoja ajishushe. Yaan ukiachiwa maagizo unahakikisha umekamilisha maana unajua eh baba akirudi nitashaa. A man should have a voice bwana. Sasa jamani nikapate mume kama pili..pili si nitajikuta na makofi nampiga? Nataka ujinga mimi?[emoji1787][emoji1787] sasa kama sikuheshimu kuna raha gani wewe kuwa mwanaume? Nichangamshe. Nipe presha nilalamike kwenye committee ya mashost zangu jaman Extrovat ananinyanyasa kisa nanpenda... nilie lie. Yaani. Kwanini upooze[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
oya mbona kama ulijichukulia mtoto kwa point za kizembe hahahaaaa.Hahahah ondoa shaka, maombi yako yamejibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]! Im good at putting a woman in her place...Proudly a black king!
Word...! Of course ndivyo inavyotakiwa kuwa.. na ndivyo ilivyo...Ananitegemea mimi kivipi? Mimi sihitaji mwanaume anayetaka nimpe support mie nahitaji mwanaume atakayesimamia majukumu yake peke yake bila kutarajia nimpige tafu na mimi nitasimia majukumu yangu yote peke yangu sitataka anisaidie!
Hahahah uaminifu tena,Ukiwa mwaminifu kwa mkeo hutaona akinyanyua mdomo hovyo.
Shida ni matendo yenu yanafanya hadi wanawake waitumie karama Yao ya uongeaji[emoji23]
Kwa jinsi mnavyosifianaga ujinga humu.Wewe mtt mzuri mwenye hofu na mungu naanzaje kukuchiti!
NdiyoHahahah uaminifu tena,
Ila mara nyingi ni ngumu kuwa mwaminifu kwa mwanamke ambaye hatoi hadi ajisikieNdiyo
Unamzungumzia mwanamke mkeo au ambaye bado hajawa mkeo?Ila mara nyingi ni ngumu kuwa mwaminifu kwa mwanamke ambaye hatoi hadi ajisikie
woteUnamzungumzia mwanamke mkeo au ambaye bado hajawa mkeo?
Huyo wa pili Hilo si jukumu lakewote
Sasa yuko nami ili iweje?Huyo wa pili Hilo si jukumu lake
Mmmmmmhmn fafanua sijakupataSasa na wewe unaekutana nae kwa umri wako na hauna mtu wa kueleweka uwekwe kundi gani?