Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Wapo wengi tu sema maoandika andika vizungu ndo wengi mnafeli

Mnaamini mmeelimika na kujitambua

Tamaduni za ulaya unazileta huku
Hapo mambo ya vizungu na kuelemika yamekujaje tena? Tamaduni za ulaya ziko wapi hapo mbona kama haujui unachokiongea?
 
Kuna vitu Mimi sipendi kufanya lakini my partner anataka ana force licha ya kumpa sababu so huwa sipendi na mwishowe ananiona mbishi anataka la kwake tu litimie by any means

Litimize sasa [emoji23][emoji23]
 
Mlitaka 50/50 halafu hamtaki kuchangia bills
 
Umepima ukimwi
 
Ulevi na Umalaya ni kati ya hizo sifa mbaya ninazoziongelea hapa! Je ni wanaume wangapi hawana hizo sifa?
Ilikuwa masuala ya pesa, ikawa vipigo na majukumu sasa ni ulevi na umalaya

Unataka mwanaume clean kiasi gani?

Hakuna mwanaume wala mwanamke msafi kiasi hiki

Kiufupi ndoa sio fungu lako fanya mambo mengine

Wasichoelewa watu wanajistress bila sababu kwa kufikiri lazima kila mtu aoe na kuolewa

Wengine ni wazuri kwenye masuala mengine sio ndoa na ni sahihi kabisa wala sio mapungufu
 
Yaani unataka kusema wanaume wengi ni walevi wa kujikojolea na malaya mbwa kuliko wanywaji na wachepukaji kwa akili?

Ndio maana kuna mtu kasema wengine wana shida zao binafsi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nimejikuta vidole vinawasha kumtag๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naunga mkono hoja, kuna raha aisee when a man has that masculinity na unajua kabisa nikitaka kuongea jambo lazima nipange gears za kumshawishi baba.Sasa ukute the guy ni mpole mpole ukimwambia hiki sawa tu hata hapingi aaargh haileti ladha kabisa, a man lazima awe na sauti bana akuchimbe mkwara kidogo๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Walitaka 50/50 baada ya ninyi kuona kama kuwatolea mahari na kuwahudumia ndoani ni kama kuwafanyia hisani wakati ni jukumu lenu! Hivyo mkaanza kuwanyanyasa kwa sababu mlijua hawana kauli na hawana pa kukimbilia!
Nina hakika hufahamu sababu, nia na malengo ya mkutano wa beijing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ