Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Usawa unaoutaka wa 100% hauwezekani

Hata 50/50 imekaa kisiasa tu imefaulu kwa asilimia chache tu

Hebu njoo pm wacha harakati za kiduanzi[emoji3][emoji3]joke
Sawa kwahiyo kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa afanye majukumu mengi? Kati ya kiongozi na msaidizi ni nani anatakiwa afanye majukumu mengi kuliko mwenzie?
 
Duuh mkuu unapoongelea wazazi mbona nakuwa sikuelewi kabisa yaani! Hao hao wazazi wetu si ndiyo waliishi katika misingi ya tamaduni zetu kuwa mwanaume anatafuta pesa na kuhudumia familia huku mwanamke anafanya kazi za ndani na kulea familia?

Na hicho ndicho kitu ambacho wanaume wengi wa sasa mnakipinga! Which means mnaenda kinyume na tamaduni zetu za kiafrika sasa mnataka tuwaeleweje yaani hebu kuweni wawazi chagueni kimoja mnataka tufuate tamaduni zetu za kiafrika au tufuate uzungu?
 
Kuna vitu Mimi sipendi kufanya lakini my partner anataka ana force licha ya kumpa sababu so huwa sipendi na mwishowe ananiona mbishi anataka la kwake tu litimie by any means
La kwake lipi mkuu..gegedo au?
 
Mapenzi yanayomtaka mtu kusacrifice ndoto zake siyo mapenzi. Mapenzi ni pamoja na kupenda na kuheshimu ndoto za mtu na siyo vinginevyo.
 
Huu uzi ulianza poa ila sasa ushaanza kwenda kushoto kabisaaa! 🤦🏽‍♂️
 
tupe hii kwa full mkuu...
 
Amnaa
Namanisha Mapenz ya dhati yale mnatembea kukushika Mkono nini Au shati kwa nyuma hivi, basi tu afurah nafsi yake.
Yani hafichi mapenzi yake aliwahi nikiss tukiwa kwnye gari alaf tulikua tumesimama na gar halikua limejaza
Mkuu bila shaka unakula maisha sana mahali hapo(kwa huyo bint) hongera sana,,ila yakigeukaga ni vumbi
 
Heheh si kumuacha tu bali hata kuendelea na lengo la kumtongoza nalifuta chap. Mie sipendi kufanywa danga ndio tatizo hilo.😂
 
Unajua point ya msingi katika hii mada ilikuwa si ku demoralize wasifu wa mwanamke katika mahusiano ama ndoa.

The point was, a woman has to give a hand to his man at times that the situation is tighter...not that a woman has to be so mean ati sababu ni majukumu ya mwanaume ku fullfil mahitaji yote ya nyumbani.

On the other hand mwanamke anayefanya kazi na ku earn income hio kazi yake haimtenganishi na social roles zake. She will still play a housewife role regardlessly. Thats what makes her a woman.

Uchizi ni kutaka kukwepa majukumu yako kama mke kisa eti unaenda kazini. Huwezi kuyafanya tafta msaidizi ila hamuwezi kuwa mnakula chips magengeni eti sababu nyote mnaenda kazini. Kama huwezi ku act on your social roles hupaswi kuwa mke at the first place
 
Nimejua kwann huyo manzi amekuacha! Inaonekana ulikuwa unamshobokea sana akakuchukulia poa we had unawakacha ndugu zako😆😆😆!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…