Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Kama wewe unaona kuna haja ya kuendeleza huu mjadala pm basi karibu! Ila mie kwa hapa nimeshamaliza mkuu!Njoo Pm tuzungumze kirafiki
Huu mjadala uishie hapa[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe unaona kuna haja ya kuendeleza huu mjadala pm basi karibu! Ila mie kwa hapa nimeshamaliza mkuu!Njoo Pm tuzungumze kirafiki
Huu mjadala uishie hapa[emoji3]
Sawa kwahiyo kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa afanye majukumu mengi? Kati ya kiongozi na msaidizi ni nani anatakiwa afanye majukumu mengi kuliko mwenzie?Usawa unaoutaka wa 100% hauwezekani
Hata 50/50 imekaa kisiasa tu imefaulu kwa asilimia chache tu
Hebu njoo pm wacha harakati za kiduanzi[emoji3][emoji3]joke
Duuh mkuu unapoongelea wazazi mbona nakuwa sikuelewi kabisa yaani! Hao hao wazazi wetu si ndiyo waliishi katika misingi ya tamaduni zetu kuwa mwanaume anatafuta pesa na kuhudumia familia huku mwanamke anafanya kazi za ndani na kulea familia?Wazazi wetu hawakuwa na exposure sio? Lakini huko kutokuwa na exposure wanaamini wametulea kwenye misingi mizuri na Ni watoto wazuri. Leo unapopinga vitu ambavyo hata wao hakuwahi hata kuwaza lazima waishie kuguna tu na kusema 'watoto wa siku hizi bhana'
Vitu unavyoongea wewe kwamba nabishia vtu sijaviskia Wala kuona",,..Kuna baadh ya mambo sizan kama inahitajika kuyaona wala kusikia, ni nature yanakuja yenyewe automatic kwa mwanaume yoyote.
Exposure haibadilishi kila kitu. Vingine vinabaki kama vilivyo.
La kwake lipi mkuu..gegedo au?Kuna vitu Mimi sipendi kufanya lakini my partner anataka ana force licha ya kumpa sababu so huwa sipendi na mwishowe ananiona mbishi anataka la kwake tu litimie by any means
Mapenzi yanayomtaka mtu kusacrifice ndoto zake siyo mapenzi. Mapenzi ni pamoja na kupenda na kuheshimu ndoto za mtu na siyo vinginevyo.Yaani nawaza wazazi wangu walivyojinyima,wameishi kwa shida ili wanilipie ada..halafu mume anakwambia acha kazi [emoji134]
Aki wazazi wataniona zuzu mno.. mbona wataanza kunipeleka kwenye maombi Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida zote zile za nyumbani,ada ilivyotolewa kwa shida aseee wawe na huruma na wazazi wetu kama wanavyowaonea wazazi wao huruma
Nitaacha kazi kwa sababu zingine iwe kwa kufukuzwa au udhaifu (naumwa)
Ila hivihivi tu mimi kazi siachi wallah!
Kwanza mume atakunyanyasa hadi ushangae.
nakushtakia kwa wazazi wako😁😁Mnaboa wenye tabia hii!unaeza Lia wallah
Yaani Kama una tabia Hiyo ni mbaya Sana!SI uachike jamani ukiachwa😂nakushtakia kwa wazazi wako
Nalia
Umekuwa CCM na Tanzania!Mie hata uniambiaje sikuachi
Nakung'ang'ania
Wew nae kila sehemu Ma siasa tuu #UnaboaUmekuwa CCM na Tanzania!
tupe hii kwa full mkuu...I suspected she was about to start mahusiano mapya nikamuuliza akaruka but viashiria viliendelea kuwepo.
Nikamuuliza tena n she came out like "We mwanaume una shida mahala,HUJIAMINI KABISAAAA.JIFUNZE KUJIAMINI BANA,UNABOA".
Yaani siwez sema nilivyojisikia since I 100% trusted my insticts that shit was bout to go down.
Siku anakwenda kunyanduliwa na huyo boya i had a dream,nikamuuliza asubuhi akanikumbusha "nisivyojiamini" but alikwenda,nikaona hotel walioingia.I refrained from having sex with her for a while before we broke up.
lONG STORY SHORT, she is now HIV+.
InaboaKuanzia post 500 mpk ya 1000 watu wanabishana tuuh hamn Visa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu bila shaka unakula maisha sana mahali hapo(kwa huyo bint) hongera sana,,ila yakigeukaga ni vumbiAmnaa
Namanisha Mapenz ya dhati yale mnatembea kukushika Mkono nini Au shati kwa nyuma hivi, basi tu afurah nafsi yake.
Yani hafichi mapenzi yake aliwahi nikiss tukiwa kwnye gari alaf tulikua tumesimama na gar halikua limejaza
Kuheshimu ndoto za mtu na kumsaidia kuzutimizaMapenzi yanayomtaka mtu kusacrifice ndoto zake siyo mapenzi. Mapenzi ni pamoja na kupenda na kuheshimu ndoto za mtu na siyo vinginevyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]...siku mojamoja upendeze na wewe..eeh
Nkabaki na maswali mengi kichwani..
Heheh si kumuacha tu bali hata kuendelea na lengo la kumtongoza nalifuta chap. Mie sipendi kufanywa danga ndio tatizo hilo.😂Khaa sasa kama unampenda kwanini ulalamike? Mie ninachojua mwanamke kama ukimpenda siyo tu hautaona shida kumpa hela bali pia hautalalamika unapompa hela yako!
Halafu ninyi wanaume si ndiyo mnasemaga huwa hamtumii hisia kupenda mnatumia akili? Sasa unaanzaje kumpenda mwanamke ambaye anaombaomba hela si umuache tu?
Unajua point ya msingi katika hii mada ilikuwa si ku demoralize wasifu wa mwanamke katika mahusiano ama ndoa.Kwahiyo mimi hadi sasa sijaelewa point yako mkuu hebu niweke wazi! Wewe unataka mwanaume atafute pesa na ahudumie familia tu ila mwanamke atafute pesa ahudumie familia afanye kazi za ndani azae na bado alee mume na watoto peke yake au unatakaje hebu kuwa tu mkweli?
Nimejua kwann huyo manzi amekuacha! Inaonekana ulikuwa unamshobokea sana akakuchukulia poa we had unawakacha ndugu zako😆😆😆!!Hata jana alikuja kibaruani kwangu. i encouraged her to start the meds.She like "I miss the good old days,nisaidie basi hata kwa kidole"
But man,inanikasirisha mno nikikumbuka kua I tried that had,breaking all my personal principles making her happy and see our relationship work but she only took me for granted,akadharau machale yangu ambayo mi nayaaminia mno.niliwanyima hadi sister zangu good time to make that hoe happy afu nikaaambiwa nina shida maybe kwenye malez sababu sijiamini kabisa.ni ubinadamu tu ndo unafanya niongee nae hadi leo