Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Usawa unaoutaka wa 100% hauwezekani

Hata 50/50 imekaa kisiasa tu imefaulu kwa asilimia chache tu

Hebu njoo pm wacha harakati za kiduanzi[emoji3][emoji3]joke
Sawa kwahiyo kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa afanye majukumu mengi? Kati ya kiongozi na msaidizi ni nani anatakiwa afanye majukumu mengi kuliko mwenzie?
 
Wazazi wetu hawakuwa na exposure sio? Lakini huko kutokuwa na exposure wanaamini wametulea kwenye misingi mizuri na Ni watoto wazuri. Leo unapopinga vitu ambavyo hata wao hakuwahi hata kuwaza lazima waishie kuguna tu na kusema 'watoto wa siku hizi bhana'

Vitu unavyoongea wewe kwamba nabishia vtu sijaviskia Wala kuona",,..Kuna baadh ya mambo sizan kama inahitajika kuyaona wala kusikia, ni nature yanakuja yenyewe automatic kwa mwanaume yoyote.
Exposure haibadilishi kila kitu. Vingine vinabaki kama vilivyo.
Duuh mkuu unapoongelea wazazi mbona nakuwa sikuelewi kabisa yaani! Hao hao wazazi wetu si ndiyo waliishi katika misingi ya tamaduni zetu kuwa mwanaume anatafuta pesa na kuhudumia familia huku mwanamke anafanya kazi za ndani na kulea familia?

Na hicho ndicho kitu ambacho wanaume wengi wa sasa mnakipinga! Which means mnaenda kinyume na tamaduni zetu za kiafrika sasa mnataka tuwaeleweje yaani hebu kuweni wawazi chagueni kimoja mnataka tufuate tamaduni zetu za kiafrika au tufuate uzungu?
 
Kuna vitu Mimi sipendi kufanya lakini my partner anataka ana force licha ya kumpa sababu so huwa sipendi na mwishowe ananiona mbishi anataka la kwake tu litimie by any means
La kwake lipi mkuu..gegedo au?
 
Yaani nawaza wazazi wangu walivyojinyima,wameishi kwa shida ili wanilipie ada..halafu mume anakwambia acha kazi [emoji134]
Aki wazazi wataniona zuzu mno.. mbona wataanza kunipeleka kwenye maombi Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Shida zote zile za nyumbani,ada ilivyotolewa kwa shida aseee wawe na huruma na wazazi wetu kama wanavyowaonea wazazi wao huruma

Nitaacha kazi kwa sababu zingine iwe kwa kufukuzwa au udhaifu (naumwa)
Ila hivihivi tu mimi kazi siachi wallah!

Kwanza mume atakunyanyasa hadi ushangae.
Mapenzi yanayomtaka mtu kusacrifice ndoto zake siyo mapenzi. Mapenzi ni pamoja na kupenda na kuheshimu ndoto za mtu na siyo vinginevyo.
 
Huu uzi ulianza poa ila sasa ushaanza kwenda kushoto kabisaaa! 🤦🏽‍♂️
 
I suspected she was about to start mahusiano mapya nikamuuliza akaruka but viashiria viliendelea kuwepo.
Nikamuuliza tena n she came out like "We mwanaume una shida mahala,HUJIAMINI KABISAAAA.JIFUNZE KUJIAMINI BANA,UNABOA".
Yaani siwez sema nilivyojisikia since I 100% trusted my insticts that shit was bout to go down.
Siku anakwenda kunyanduliwa na huyo boya i had a dream,nikamuuliza asubuhi akanikumbusha "nisivyojiamini" but alikwenda,nikaona hotel walioingia.I refrained from having sex with her for a while before we broke up.
lONG STORY SHORT, she is now HIV+.
tupe hii kwa full mkuu...
 
Amnaa
Namanisha Mapenz ya dhati yale mnatembea kukushika Mkono nini Au shati kwa nyuma hivi, basi tu afurah nafsi yake.
Yani hafichi mapenzi yake aliwahi nikiss tukiwa kwnye gari alaf tulikua tumesimama na gar halikua limejaza
Mkuu bila shaka unakula maisha sana mahali hapo(kwa huyo bint) hongera sana,,ila yakigeukaga ni vumbi
 
Khaa sasa kama unampenda kwanini ulalamike? Mie ninachojua mwanamke kama ukimpenda siyo tu hautaona shida kumpa hela bali pia hautalalamika unapompa hela yako!

Halafu ninyi wanaume si ndiyo mnasemaga huwa hamtumii hisia kupenda mnatumia akili? Sasa unaanzaje kumpenda mwanamke ambaye anaombaomba hela si umuache tu?
Heheh si kumuacha tu bali hata kuendelea na lengo la kumtongoza nalifuta chap. Mie sipendi kufanywa danga ndio tatizo hilo.😂
 
Kwahiyo mimi hadi sasa sijaelewa point yako mkuu hebu niweke wazi! Wewe unataka mwanaume atafute pesa na ahudumie familia tu ila mwanamke atafute pesa ahudumie familia afanye kazi za ndani azae na bado alee mume na watoto peke yake au unatakaje hebu kuwa tu mkweli?
Unajua point ya msingi katika hii mada ilikuwa si ku demoralize wasifu wa mwanamke katika mahusiano ama ndoa.

The point was, a woman has to give a hand to his man at times that the situation is tighter...not that a woman has to be so mean ati sababu ni majukumu ya mwanaume ku fullfil mahitaji yote ya nyumbani.

On the other hand mwanamke anayefanya kazi na ku earn income hio kazi yake haimtenganishi na social roles zake. She will still play a housewife role regardlessly. Thats what makes her a woman.

Uchizi ni kutaka kukwepa majukumu yako kama mke kisa eti unaenda kazini. Huwezi kuyafanya tafta msaidizi ila hamuwezi kuwa mnakula chips magengeni eti sababu nyote mnaenda kazini. Kama huwezi ku act on your social roles hupaswi kuwa mke at the first place
 
Hata jana alikuja kibaruani kwangu. i encouraged her to start the meds.She like "I miss the good old days,nisaidie basi hata kwa kidole"
But man,inanikasirisha mno nikikumbuka kua I tried that had,breaking all my personal principles making her happy and see our relationship work but she only took me for granted,akadharau machale yangu ambayo mi nayaaminia mno.niliwanyima hadi sister zangu good time to make that hoe happy afu nikaaambiwa nina shida maybe kwenye malez sababu sijiamini kabisa.ni ubinadamu tu ndo unafanya niongee nae hadi leo
Nimejua kwann huyo manzi amekuacha! Inaonekana ulikuwa unamshobokea sana akakuchukulia poa we had unawakacha ndugu zako😆😆😆!!
 
Back
Top Bottom