Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Kila kitu pesa, pesa ikiwepo nipo tayari kufanya lolote ili niipate. "hakuna anaekataa pesa"
 
Kiukweli wanaume wa hivi wanaboa, mwanaume unatakiwa uwe na misimamo ya kiume sio kupelekeshwa pelekeshwa
Yaani mwanaume anapelekeshwa naye anapelekesheka tu[emoji134]dah wa hivi anachosha sana..hakuna hata amsha amsha,anazubaa mno kama gari bovu anaenda popote anakopelekwa.
 
Wanaume mnapenda kulalamika sana, sisi wanawake vitu vingi huwa tunapuuzia Ila na nyie mna kero sema wanawake tunasahau haraka
Kero za wanawake zinatweza uanaume wa mwanaume

Imagine mwanaume akusilibe kwanini hupati mtoto

Just imagine maumivu yake
 
Hapa nashindeaga paelewa[emoji23][emoji23]
We always fall for bad boys. Yaan tunapenda hekaheka kupelekeshwa. Ila jaman mpole no. Ilimradi asiwe abusive kama kupiga na kadhalika. Mpole mwenyewe hapana naamini nitamwonea

Mnapenda sana heka heka... mauza uza [emoji23][emoji23][emoji23]...mwanaume ni kuwa headache... pasua kichwa...kivuruge haswaa
 
Wewe binti mkali sana, punguza maneno utapigwa
[emoji23][emoji23][emoji23]ukali wangu ni nini sasa siwezi ruhusu mtu aninyanyase kwa kitu Kiko nje ya uwezo wangu aisee. Na staki kupigwa Mimi kah
 
Wanaume naona mmefunguka kwenye thread hii🤣🤣🤣🤣, kisaikolojia tuko tofauti, wanaume wako physical, kupiga ndio expression ya aggression sisi wanawake tuko psychological, yani tunauchonga weeeeeeeeeee hahaaaa hadi mwanaume ananywea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanaume naona mmefunguka kwenye thread hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kisaikolojia tuko tofauti, wanaume wako physical, kupiga ndio expression ya aggression sisi wanawake tuko psychological, yani tunauchonga weeeeeeeeeee hahaaaa hadi mwanaume ananywea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wew hua unauchonga kama black American, women's [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom