King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Daaah mkuu,kauli za Hawa mademu ukiziweka Sana kichwani unaweza ukadata hvhv[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah nimecheka, hadi sio vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah mkuu,kauli za Hawa mademu ukiziweka Sana kichwani unaweza ukadata hvhv[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah nimecheka, hadi sio vizuri.
Ningekupa shuhuda hapa za wanawake waliokuwa wananyanyaswa na waume zao na mwisho wa siku walichokuja kuwafanyia waume zao hao wanaume walijuta! Ila nitaandika tu magazeti hapa kwa watu ambao hamna lolote zaidi ya kujitutumua tu humu!
Hayo majukumu mbona atafanya tu! Ila siyo akuombe pesa umnyime au umuambie sina!Alafu Sio kumpelekesha Ni kila mtu anafanya majukum yake ...na hayo ndo majukum yenyewe ya mwanamke
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Jamani ninyi wenyewe si ndiyo mmesema mkipata wanawake wa hivyo mtakuwa mnawapelekesha? Sasa hapa mbona mnageuza maneno tena eti majukumu?Apo napo atasema anapelekeshwa[emoji23]
Mwanamke ukimpenda hayo mambo hayaoni mzigo wala manyanyaso. Sasa mwanamke hutaki kupika, kufua, kuosha vyombo kulea watoto eti unalalamika ni manyanyaso. Kama kuna mwanamke alilalamikia hilo kama manyanyaso ilihali anaoneshwa upendo kama kawaida na mume atakuwa ni mental case. Sasa usipopikia mume na watoto nani afanye hio kazi 😂😂😂 Baba alete chakula ndani halafu aingie tena kuwapikiaNingekupa shuhuda hapa za wanawake waliokuwa wananyanyaswa na waume zao na mwisho wa siku walichokuja kuwafanyia waume zao hao wanaume walijuta! Ila nitaandika tu magazeti hapa kwa watu ambao hamna lolote zaidi ya kujitutumua tu humu!
Kiufupi mwanamke akiamua kukufanyia lolote baya anakufanyia tu tena bila hata kutumia nguvu hilo kubali ukatae! Sasa wewe oa mwanamke halafu kamfanyie hayo wala sikukatazi wewe nenda kamfanyie hayo unayoyaandika humu halafu time will tell!
Teh teh ningetaka kukukomoa ningekubali kuwa na wewe haki ya nani ningekupa miezi sita tu ungeenda kusimulia kwenu! Ila ni vile nakuonea huruma tu maana kitu ambacho ningekufanyia hata mimi ningeumia!Tena wewe Karma nikukupata ndo utajionea kua wanawake wa kufanya hvo wapo
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Jamani ninyi wenyewe si ndiyo mmesema mkipata wanawake wa hivyo mtakuwa mnawapelekesha? Sasa hapa mbona mnageuza maneno tena eti majukumu?
[/QUOTE
Wewe ni pacha angu kabisaMadhara yapi? Halafu nikuambie sasa mimi sina shida kabisa kuwa chini ya mwanaume ila sipendi ujinga maana hata mimi ujinga nauweza vile vile!
Yaani mwanaume uninyanyase eti kisa nimekuachia ufanye majukumu yako mwenyewe? Utakuwa ni mwanaume wa ajabu kuwahi kutokea!
Teh teh kwani atakuambia kuwa kameza vidonge majibu si yatakuwa ni yale yale tu kuwa mtoto ni majaliwa ya muumba then ukifika wakati anaotaka yeye kuzaa ndiyo sasa atabeba mimba! Kwahiyo kwa sababu unamlisha ndiyo umzalishe watoto wengi mfululizo kuzaa siyo shida ila shida ni kuzaa mitoto mingi halafu imepishana mwaka!A
Asa ukimeza vidonge si unawekwa kando tu anachukuliwa anaejua jukumu lake. Kwani unaolewa ukapike na kufua tu kwa mume. Main job ni kuzaa watoto. You will be extra stupid kama utameza vidonge ili uendelee kulishwa tu bure.
Nimeshakuambia ningekupa shuhuda kusupport haya ninayoyaongea hapa ila nitaandika magazeti! Kuna wanaume ni madikteta haswa na wanajua kupiga wanawake ila walijua kukomeshwa sembuse ninyi madikteta mnaopiga tu kelele humu!
Dah, yani muda wote huo kwa daktari hatujaenda tu kuchunguza tatizo ni nini? 😂😂😂 Wonders shall never end! The moment naambiwa kuna elements za P2 kwenye damu yako ujue siku hio hio utapaki mabegi yako urudi kwenu.Teh teh kwani atakuambia kuwa kameza vidonge majibu si yatakuwa ni yale yale tu kuwa mtoto ni majaliwa ya muumba then ukifika wakati anaotaka yeye kuzaa ndiyo sasa atabeba mimba! Kwahiyo kwa sababu unamlisha ndiyo umzalishe watoto wengi mfululizo kuzaa siyo shida ila shida ni kuzaa mitoto mingi halafu imepishana mwaka!
Halafu sasa bado utakuwa unajikomoa mwenyewe maana hao watoto wote watakuwa wanakutegemea wewe kwa kila kitu kuanzia ada hadi mavazi hivyo uhakikishe una uwezo huo huku na mke naye anakusuburi! Ndiyo muone jinsi gani mnashindwa kutumia akili hata kwenye vitu vidogo kama hivyo mnakaza kutumia nguvu mwisho mnajiumiza wenyewe!
You make the rules when you make the money and not otherwise! Kama hausimamii majukumu yako you make the rules for what and for who au mnadhani mwanaume kuwa na uume tu ndiyo tayari umeumbwa kuwa kiongozi na kichwa cha familia?Mie mke atafata tamaduni za asili ya kiafrika na specifically nilizokua nazo mimi. I set the rules its either you stick to the script or ukae chonjo. There are plenty women out there na mwanaume hana expire date!
Hahahah hamna mtu dikteta ukijitambua. Hili la kusema si madikteta si mmeliibua kama namna ya kujitetea.Nimeshakuambia ningekupa shuhuda kusupport haya ninayoyaongea hapa ila nitaandika magazeti! Kuna wanaume ni madikteta haswa na wanajua kupiga wanawake ila walijua kukomeshwa sembuse ninyi madikteta mnaopiga tu kelele humu!
Yani Mimi kwa akili Yangu nimpige mwanamke? Afu mbona hatukuelewi mwanamke kufanya majukum yake ni udikteta?Nimeshakuambia ningekupa shuhuda kusupport haya ninayoyaongea hapa ila nitaandika magazeti! Kuna wanaume ni madikteta haswa na wanajua kupiga wanawake ila walijua kukomeshwa sembuse ninyi madikteta mnaopiga tu kelele humu!
Mkuu Mimi nikichoka au sijiskii kufanya kitu sigusi hata aseme Nani kwa kweliI believe you are better than this japo una ka ukorofi. Siamini we ni mwanamke wa kua argue about doing your house chores!
Huyu binti anashangaza sana ujue. Ni sawa na sie tugomee kwenda kazini au vibaruani tuanze kugombana na wanawake kwamba kwenda kazini ni unyanyasaji ilihali bills zote tutatakiwa tufanye clearance sisi. Hii inaingia akilini kweli?Yani Mimi kwa akili Yangu nimpige mwanamke? Afu mbona hatukuelewi mwanamke kufanya majukum yake ni udikteta?
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana yake! Mimi ikiwa mwanaume anasimamia majukumu yake peke yake bila kutaka mimi nimsaidie na ananihudumia ipasavyo sasa mwanaume kama huyo kwanini nitake kutunishiana naye misuli?Huwezi ku feel unanyanyasika if you know your purpose! Thats the plain truth..Ukijijua we ni mwanamke na una nafasi gani kama sehemu ya familia utainjoy badala ya complaining
Mimi naishi kwangu na hata nikienda kwetu Hali hyo hyo,sipendi kufanya vtu nisivo jiskia kabisa.I believe still uko kwenu, and your homeplace is where you belong.[emoji13]