Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Kwan nyie akili zetu mnazijua?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ningekupa shuhuda hapa za wanawake waliokuwa wananyanyaswa na waume zao na mwisho wa siku walichokuja kuwafanyia waume zao hao wanaume walijuta! Ila nitaandika tu magazeti hapa kwa watu ambao hamna lolote zaidi ya kujitutumua tu humu!

Kiufupi mwanamke akiamua kukufanyia lolote baya anakufanyia tu tena bila hata kutumia nguvu hilo kubali ukatae! Sasa wewe oa mwanamke halafu kamfanyie hayo wala sikukatazi wewe nenda kamfanyie hayo unayoyaandika humu halafu time will tell!
 
Alafu Sio kumpelekesha Ni kila mtu anafanya majukum yake ...na hayo ndo majukum yenyewe ya mwanamke

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hayo majukumu mbona atafanya tu! Ila siyo akuombe pesa umnyime au umuambie sina!

Mwanaume anayetoa pesa nini kufuliwa boksa na soksi! Hata kulishwa na kuogeshwa poa tu!
 
Ningekupa shuhuda hapa za wanawake waliokuwa wananyanyaswa na waume zao na mwisho wa siku walichokuja kuwafanyia waume zao hao wanaume walijuta! Ila nitaandika tu magazeti hapa kwa watu ambao hamna lolote zaidi ya kujitutumua tu humu!

Kiufupi mwanamke akiamua kukufanyia lolote baya anakufanyia tu tena bila hata kutumia nguvu hilo kubali ukatae! Sasa wewe oa mwanamke halafu kamfanyie hayo wala sikukatazi wewe nenda kamfanyie hayo unayoyaandika humu halafu time will tell!
Mwanamke ukimpenda hayo mambo hayaoni mzigo wala manyanyaso. Sasa mwanamke hutaki kupika, kufua, kuosha vyombo kulea watoto eti unalalamika ni manyanyaso. Kama kuna mwanamke alilalamikia hilo kama manyanyaso ilihali anaoneshwa upendo kama kawaida na mume atakuwa ni mental case. Sasa usipopikia mume na watoto nani afanye hio kazi 😂😂😂 Baba alete chakula ndani halafu aingie tena kuwapikia
 
Tena wewe Karma nikukupata ndo utajionea kua wanawake wa kufanya hvo wapo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Teh teh ningetaka kukukomoa ningekubali kuwa na wewe haki ya nani ningekupa miezi sita tu ungeenda kusimulia kwenu! Ila ni vile nakuonea huruma tu maana kitu ambacho ningekufanyia hata mimi ningeumia!
 
Mwanamke anayefanya hayo makusudi kama unavyojinadi ndio wa kupelekwa mputa mputa maana analeta majaribu katika mamlaka iliomuweka ndani.
Jamani ninyi wenyewe si ndiyo mmesema mkipata wanawake wa hivyo mtakuwa mnawapelekesha? Sasa hapa mbona mnageuza maneno tena eti majukumu?
[/QUOTE
 
Madhara yapi? Halafu nikuambie sasa mimi sina shida kabisa kuwa chini ya mwanaume ila sipendi ujinga maana hata mimi ujinga nauweza vile vile!

Yaani mwanaume uninyanyase eti kisa nimekuachia ufanye majukumu yako mwenyewe? Utakuwa ni mwanaume wa ajabu kuwahi kutokea!
Wewe ni pacha angu kabisa
 
A
Asa ukimeza vidonge si unawekwa kando tu anachukuliwa anaejua jukumu lake. Kwani unaolewa ukapike na kufua tu kwa mume. Main job ni kuzaa watoto. You will be extra stupid kama utameza vidonge ili uendelee kulishwa tu bure.
Teh teh kwani atakuambia kuwa kameza vidonge majibu si yatakuwa ni yale yale tu kuwa mtoto ni majaliwa ya muumba then ukifika wakati anaotaka yeye kuzaa ndiyo sasa atabeba mimba! Kwahiyo kwa sababu unamlisha ndiyo umzalishe watoto wengi mfululizo kuzaa siyo shida ila shida ni kuzaa mitoto mingi halafu imepishana mwaka!

Halafu sasa bado utakuwa unajikomoa mwenyewe maana hao watoto wote watakuwa wanakutegemea wewe kwa kila kitu kuanzia ada hadi mavazi hivyo uhakikishe una uwezo huo huku na mke naye anakusuburi! Ndiyo muone jinsi gani mnashindwa kutumia akili hata kwenye vitu vidogo kama hivyo mnakaza kutumia nguvu mwisho mnajiumiza wenyewe!
 
Huyu hajui akiongeacho [emoji14]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Nimeshakuambia ningekupa shuhuda kusupport haya ninayoyaongea hapa ila nitaandika magazeti! Kuna wanaume ni madikteta haswa na wanajua kupiga wanawake ila walijua kukomeshwa sembuse ninyi madikteta mnaopiga tu kelele humu!
 
Dah, yani muda wote huo kwa daktari hatujaenda tu kuchunguza tatizo ni nini? 😂😂😂 Wonders shall never end! The moment naambiwa kuna elements za P2 kwenye damu yako ujue siku hio hio utapaki mabegi yako urudi kwenu.

Omba tu upate mume zoba au mbumbumbu dizaini ya MC Pilipili ile.
 
Mie mke atafata tamaduni za asili ya kiafrika na specifically nilizokua nazo mimi. I set the rules its either you stick to the script or ukae chonjo. There are plenty women out there na mwanaume hana expire date!
You make the rules when you make the money and not otherwise! Kama hausimamii majukumu yako you make the rules for what and for who au mnadhani mwanaume kuwa na uume tu ndiyo tayari umeumbwa kuwa kiongozi na kichwa cha familia?
 
Nimeshakuambia ningekupa shuhuda kusupport haya ninayoyaongea hapa ila nitaandika magazeti! Kuna wanaume ni madikteta haswa na wanajua kupiga wanawake ila walijua kukomeshwa sembuse ninyi madikteta mnaopiga tu kelele humu!
Hahahah hamna mtu dikteta ukijitambua. Hili la kusema si madikteta si mmeliibua kama namna ya kujitetea.
 
Nimeshakuambia ningekupa shuhuda kusupport haya ninayoyaongea hapa ila nitaandika magazeti! Kuna wanaume ni madikteta haswa na wanajua kupiga wanawake ila walijua kukomeshwa sembuse ninyi madikteta mnaopiga tu kelele humu!
Yani Mimi kwa akili Yangu nimpige mwanamke? Afu mbona hatukuelewi mwanamke kufanya majukum yake ni udikteta?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Yani Mimi kwa akili Yangu nimpige mwanamke? Afu mbona hatukuelewi mwanamke kufanya majukum yake ni udikteta?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Huyu binti anashangaza sana ujue. Ni sawa na sie tugomee kwenda kazini au vibaruani tuanze kugombana na wanawake kwamba kwenda kazini ni unyanyasaji ilihali bills zote tutatakiwa tufanye clearance sisi. Hii inaingia akilini kweli?
 
Huwezi ku feel unanyanyasika if you know your purpose! Thats the plain truth..Ukijijua we ni mwanamke na una nafasi gani kama sehemu ya familia utainjoy badala ya complaining
Ndiyo maana yake! Mimi ikiwa mwanaume anasimamia majukumu yake peke yake bila kutaka mimi nimsaidie na ananihudumia ipasavyo sasa mwanaume kama huyo kwanini nitake kutunishiana naye misuli?

Yeye siku zote ndiyo atakuwa juu na atakaloamua yeye ndilo litakuwa! Mie nitakuwa nampa ushauri tu kama akiuhitaji!
 
Back
Top Bottom