Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Halafu kwa taarifa yako sasa mimi sijuagi kumuomba hela mwanaume yaani wazazi wangu tu huwa naona shida kuwaomba sembuse mwanaume mie huwa naona fahari sana ku pay my own bills na hata nikitoka na companya yangu huwa naona fahari kuwapa offer ya wanachokula/kunywa!
Wow!!

You are a gem! And I mean it.

A woman who doesn’t ask for anything, deserves everything.

Sikumbuki mara ya mwisho kumsikia mdada akisema kama ulivyosema wewe hapo.

Kuna wadada wanakera. Yaani mnakutana leo, kesho mwenzio anaanza kukuorodheshea shida zake:

1. Naomba nilipie ada ya chuo
2. Naomba ninunulie simu
3. Naomba hela nikatengeneze nywele
4. Wengine hadi nauli za kupandia bajaji wanaomba!

Kuombaomba ni aibu. Ni fedheha.

Please accept my compliment because it’s genuine.

💯%.
 
We ni muongo muongo

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hivi mtu asie mchoyo anabaguaga watu wa kuwapa na kutowapa? Mtu mwenye roho ya kimasikini ndio huwa na shida hizo hasa. Hawa ndio wale akikunulia saa ya buku 3 akakupa anajisifu i made you Kevin😂😂😂!
Ila toka umemjua you spent millions on her. Zawadi hadi aombe hela ya kukununulia sababu ni mchungu kinoma.
 
Wow!!

You are a gem! And I mean it.

A woman who doesn’t ask for anything, deserves everything.

Sikumbuki mara ya mwisho kumsikia mdada akisema kama ulivyosema wewe hapo.

Kuna wadada wanakera. Yaani mnakutana leo, kesho mwenzio anaanza kukuorodheshea shida zake:

1. Naomba nilipie ada ya chuo
2. Naomba ninunulie simu
3. Naomba hela nikatengeneze nywele
4. Wengine hadi nauli za kupandia bajaji wanaomba!

Kuombaomba ni aibu. Ni fedheha.

Please accept my compliment because it’s genuine.

💯%.
Jichanganye uone 😂😂😂
 
Sasa unamkomoa nani? Yaani wewe kumhudumia mkeo unaona kama umemfanyia hisani ndiyo maana unataka kumpelekesha kama punda tu si ndiyo?

Nasikitika hamzijui akili za wanawake nyie tunavyojifanya mafala mnadhani sisi ni mafala kweli! Mwanamke akiamua kulipa kisasi hata shetani anakaa pembeni kuchukua mafunzo!
We hujiulizi kwanini ndoa siku hizi hazidumu na zinazodumu ziko hai bin taaban?
Simple tu, wanaume wa siku hizi AKILI hakuna kabisa.
 
Yani tatizo Hawa unaowajibu Wana individual conflict rohoni kwao hata uwaeleze vip washajiwekea kua hawatakaa waelewe wanakuja na mada zao badae Wana anza kuzi criticise wenyewe wamekaza shingo
[emoji23][emoji23][emoji23]

Its a good thing to be positive.
Naaminigi hatuwezi fanana.
Lets just try to be understanding each other.
Katika mahusiano huwa hakuna ambaye hana makosa. Hata nikaja kukulalamikia fulan kanifanya hv na vile lazima nna yangu pia ila nayafukia. Ni kwakua sitaki nionekane mbaya
 
Hawa wanaojifanya kufuraisha wanaume huishiwa kuuliwa kabisa au kuwa walemavu wakudumu
Don't be rude girl, kuna tofauti ya kudate gentleman na kudate abuser. Wengi wanakuwa victimised sababu ya kujipeleka kwa watu kimaslahi 😂!!!

Unajitia kumpenda mtu kumbe umefata maisha kwa njia ya mkato. Mtu akichoka kuwa used anakunyoosha.
 
We hujiulizi kwanini ndoa siku hizi hazidumu na zinazodumu ziko hai bin taaban?
Simple tu, wanaume wa siku hizi AKILI hakuna kabisa.
Ila wanawake akili zimo? Au wanaume wanaishi wenyewe?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Its a good thing to be positive.
Naaminigi hatuwezi fanana.
Lets just try to be understanding each other.
Katika mahusiano huwa hakuna ambaye hana makosa. Hata nikaja kukulalamikia fulan kanifanya hv na vile lazima nna yangu pia ila nayafukia. Ni kwakua sitaki nionekane mbaya
Siku zote anayeanza haonekanagi ila anayemaliza ndio huitwa katili.
 
Mwanamke ambaye yuko generous hana character hizi kabisa. Halafu umekazania mwanaume kama hali kwa jasho lake wewe ina maana siku zote ulikuwa unawalisha ma boyfriend zako tu? Maana sio kwa uchungu huu!
Teh teh my generosity does not need your validation Mr. Extrovert! Whether you agree to that or not the truth shall always prevail!
 
Ukiona unakuwa abused una haki ya kusepa. Watu wanakuwa judgmental sababu ishu nyingi zinakuja kama one sided stories! Na mara zote wanawake wanakuwa wanabebwa hata ukienda ustawi[emoji13]
Wanabebwa kwa sababu ninyi si mnajisifia kuwa mna nguvu za kupiga na kwamba wanawake hawawezi kuwafanya chochote? Acheni ustawi wa jamii wawatee wanawake maana ninyi mnatetewa na nguvu zenu!
 
Wanabebwa kwa sababu ninyi si mnajisifia kuwa mna nguvu za kupiga na kwamba wanawake hawawezi kuwafanya chochote? Acheni ustwi wa jamii wawatee wanawake maana ninyi mnatetewa na nguvu zenu!
Gardemn ila freshi tu.
 
Ku provide sio hisani ila kinachotushangaza ni kwamba nyie watoto wa sikuhizi ndio mnaona kama kuwaheshimu wanaume zenu kama kuwafanyia favour hivi ndo maana mnakomaa na kushindana nao...eti ooh asiponifanyia hivi namie vile sifanyi. Mnaendaga deep na kuanza kubana ngenya mkihisi mtamkomoa mtu aanze kubembelezea kitobo wakati ameshapewa leseni ya matumizi toka madhabahuni.

Mambo ya kishamba kweli, yani kumfanyia jambo special mpenzi wako mpaka kuwe na condition flani. Af unategemea mume akupende! For what!
Hivi kwani ninyi wanaume huwa hamsemi hizo kauli kuwa "mwanamke wangu asipofanya hivi na mimi sifanyi hivi"? Au ndiyo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
 
Hivi kwani ninyi wanaume huwa hamsemi hizo kauli kuwa "mwanamke wangu asipofanya hivi na mimi sifanyi hivi"? Au ndiyo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?
Lini uliskia mwanaume anafanya hivyo. Yani nianze tu kumuwekea sanctions mke wangu?
 
Back
Top Bottom