Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wow!!Halafu kwa taarifa yako sasa mimi sijuagi kumuomba hela mwanaume yaani wazazi wangu tu huwa naona shida kuwaomba sembuse mwanaume mie huwa naona fahari sana ku pay my own bills na hata nikitoka na companya yangu huwa naona fahari kuwapa offer ya wanachokula/kunywa!
You are a gem! And I mean it.
A woman who doesn’t ask for anything, deserves everything.
Sikumbuki mara ya mwisho kumsikia mdada akisema kama ulivyosema wewe hapo.
Kuna wadada wanakera. Yaani mnakutana leo, kesho mwenzio anaanza kukuorodheshea shida zake:
1. Naomba nilipie ada ya chuo
2. Naomba ninunulie simu
3. Naomba hela nikatengeneze nywele
4. Wengine hadi nauli za kupandia bajaji wanaomba!
Kuombaomba ni aibu. Ni fedheha.
Please accept my compliment because it’s genuine.
💯%.