Sasa hapa umenifurahisha and this has always been my point! Hebu muite ndugu yako
Extrovert asome hapa na ajibu halafu ndiyo utajua mimi na yeye tunapishanaga wapi!
Huyo
Extrovert yeye anataka hivi! Hata yeye na mwanamke wake wote wawe wanatafuta pesa na wanachangia bills pasu kwa pasu basi kazi za ndani bado azifanye mwanamke peke yake yeye hahusiki kabisa which is totally unfair and against our african traditions!
Ndiyo maana nasema it's either mwanaume na mwanamke wasaidiane kutafuta pesa na kazi za ndani kwa pamoja au mwanaume atafute pesa peke yake na mwanamke afanye kazi za ndani peke yake! Lakini siyo eti mmoja anafanya jukumu moja ila mwingine anafanya yote mawili hiyo siyo sawa kabisa!
Na kama wewe upo hivyo basi hongera mkuu mko wachache sana! Wanaume wengi kwenye jamii zetu hizi za kiafrika wanaangukia kwenye hilo kundi nililolizungumzia hapo juu na hao ndiyo ninaowaongelea humu mara nyingi!