Unakumbuka nini katika enzi za gazeti la Sani?

Nitakupa mpenzi uvipitie nawe ufaidi uhondo halisia wa vijarida hivi ambavyo vilikua gumzo nchi nzima wakati huo vikitoka mara moja kwa mwezi
Toka mchango wa kwanza wa uzi huu, nimesoma maneno ya staha sana. Nimegundua kuwa, wanaosumbua kwa maneno ya kuudhi, ni kutoka kwa wale waliojua kusoma na kuandika, wakati yameanza kutoka magazeti ya , IJUMAA, UWAZI, AMANI, KIU NK, Big up WAHENGA!
 
He died so young!RIP philip ndunguru!
 
Duuuu
 

Ukimalizia na zile mechi za mpira ilikua ni zaidi ya burudani.
 
Kw
Kweli wewe ni muhenga, mimi nimeanza kulisoma 2000+
 
Sasa mimi nilikuwa napata burudani zaidi during the mechi wanaweza waka cjinjiana na waanzishiana kichapo heavy....[emoji28][emoji28]

Au tim moja hata washabiki wanafukuzia wachuchu wa tim ingine. Yaani mbilinge mbilinge na madhamsham ya mechi yalizidi uhondo wa mpira wenyewe.

Au maandalizi na mazoezi ya mechi yalivyokua yanafanyika. Bush stars wanaweza kuingia kwa mifugo uwanjani ilimradi kash kash tu.

Wanakwambia duv line!
 
Hakika ilikuwa burudani sana.........[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…