Unakumbuka nini katika enzi za gazeti la Sani?

Unakumbuka nini katika enzi za gazeti la Sani?

Ritz 1 nazan angefit kwenye usokomoko maana anavyo ropokaga ropokaga na kuongea hata vitu visivyo muhusu kama mlevi wa chang'aa au bange iliyofundikwa chooni.
 
mie ningekuwa Amri Bawji, nawatunga tu kama sindano inavyotungwa uzi.
 
mie pasi hiyana Ndumilakuwili ndio yangu nafasi...na kwa kuanzia naiiba JF kuanzia tar 12 halafu nitairudisha tar 15.
 
Gazeti la Sani la Jumatano ya jana limetoa picha moja ya mwanamke yuko uchi wa mnyama amezungukwa na watu na katanua miguu yaani K ingawa wamefunika. Wanadai amerogwa kisa kaiba mume wa mtu. Kuna mdau anaweza kuzipata picha hizo na kutueukea?
 
Iyo picha ilikuwepo kwenye ''Utamu wa Ngoma'' ila blog yenyewe imeshafungiwa na Google..
 
Back
Top Bottom