Unakumbuka Nini kuhusu maisha shule za bweni A level share kisa chako.

Kitanda cha juu akiwa kikojozi una wakati mgumu kitanda cha chini.
 
Advanced level student unaibiwa kiboya hivyo, wakati uko Olevel hukuwahi kusikia stori za shule za bweni? Ninesoma bweni Shule za Serikali miaka 6 sikuwahi kuibiwa
Mgeni ni mgeni tu kiongozi, mimi yangenikuta hayo sema tu nilibahatika kupangwa bweni la wezi.
hao wengine waliipata maana ukienda darasani ukirudi unakuta chaga zinakuangalia
 
Sio moshi tech mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nilifika Kituo cha mabasi kwenye ule mji saa 11 jioni EAT kutoka Dar es salaam nilipolala kutoka mkoani kwetu. Nikiwa nimevaa shamba dress na tranka langu nisijue pakwenda, ghafla nikawaona wasichana wawili weupe wamevaa sare za shule wakaja kunisalimia na kuniomba wanisaidie kubeba mizigo na kuniongoza kwenda shule.
Baada ya kuwahoji niligundua walikuwa ni form one na ndio walikuwa wameruhusiwa wanarudi nyumbani Ila waliamua kunisaidia na kurudi tena shule.
Mbarikiwe sana H na mwenzako W.
Watu wa kusini niwakarimu sana. Kwa hili nawaheshimu sana.
 

Nimejificha sana darini ilimradi tu nisiingie darasani, usiku ni kulala au stori tu na kufungiwa kufuli moja kubwa sana kwa nje na ‘dom’ leader mtiifu... siku moja Maximo katudaka Amri Abeid pale chemba ya nje ikawa noma.

Msalimie Kyege na wazee wa kuvuna wanaovusha misosi.
 
Kyege aliondoka pale nadhani ilikua kati ya 2011/2012 labda kama alirejea tena
 
Sisi wa Zengo boys tuna Visa vingi sana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boarding bana dah ....
maisha ya kula kwa table dah, nikapangwa na wahuni full ubabe muda wa msosi[emoji23][emoji23][emoji23]
kumiliki illegal material....
Naingia prepo saa mbili nipe nusu saa ni sha horizontal [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu

Daah kuna uhuni najutiaga Sana kwann niliufanya

Kulia kwenye table msosi tunachukua kwenye madishi dirishani kwa kutumia kadi

Aseeh Nakumbuka Wahuni Cku Ya ugali walikuwa Hawataki kuosha madishi sa ikifika Cku ya wali Nilikuwa naiba dishi naenda nalo bwenini.. Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bazoka bafo wapo Iyunga??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kati ya vtu vilinishinda boarding bas ni prepo asee afu nashukuru master na mtaaluma wa hyo skuli hawakuwa wanoko na wala prepo haikuwa lazma. yaan dinner ilikuwa inaanza kugawiwa saa 12 jion then mnaingia kpindi cha dini mpaka saa 2. sasa mm ikishafika saa 2 plus ile shibe yaan n mwendo wa kupiga horizontal mpaka kesho yake........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…