Binkcarter
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 413
- 460
Hawa mafala wa ainahyo walinitesa Sana
Yani Cku ya kwanza kwenda class nakuta jamaa wanasolve trig Mara differentiation Mara integration aseeh jamaa wanabishana kinoma.. Nilijiona mjinga na nishafeli.. Niiwakariri wale jamaa na finally necta niliwaacha mbali Sana
Nakumbuka kuna siku nilikaa bwenini nikalia Sana.. Nikamkumbuka mama alivoniambiaga kuwa kuna Maisha magum duniani.. Ckuwahi kula marage ya wadudu.. Ugali mgumu wa Dona na kande la wadudu.. Mwanzoni nilikonda Sana.. Nilikuja nikazoea na nikatusua vizuri Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivo maisha yalivo mkuu. Yaani hao mabwana/ mabibi wanaweza kuwa ni vichocheo vya kufanya mtu asome kwa bidii au apotee kabisa.. atoke kwenye phase na kupanic juu [emoji38][emoji38][emoji38]