Unakumbuka Nini kuhusu maisha shule za bweni A level share kisa chako.


Ndivo maisha yalivo mkuu. Yaani hao mabwana/ mabibi wanaweza kuwa ni vichocheo vya kufanya mtu asome kwa bidii au apotee kabisa.. atoke kwenye phase na kupanic juu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Shule 1 kubwa ya vipanga ipo Eastern Zone. "wee mtoto mbona hufanani na kusoma tahasusi hii tena kwa shule hiii na shule uliyotoka mbna monekano wako tofauti" maneno ya makamu mkuu wa shule hapo ofisini kwake, nafany utaratibu wa usajiri 4m 5 sku ya kwanza nareport, nlijisikia vibaya mnoooh but nashukuru siku ya pili aliniita na kuomba msamaha na kunijenga kifikra. But changamoto kwa wanafunz wenzangu n nyingi ila nliondoka salama.
 
Unahisi kwa nini alikuambia hivyo?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mi nakumbuka nilikusanya assignment ambayo najua fikra sijaifanya ,nikamkabidhi teacher kwa story za hapa na pale akapokea. Kumbuka sijaifanya🤣
Nikaona sio kweli ,nikaingia ofisini nikachukua nikaondoka nayo
Baada ya matokeo

"🙄Teacher assignment yangu vipi, unipi?!"
Teacher " Aisee sijui nikwambiaje ,unajua sielewi sijui imepotea au imedondoka nikaisomba na uchafu"
Mimi " 😔😔Basi jaza 100"
 
Aaah genius kweli 😹😹😹😹
 
Likewise sema mimi nilianza kuwa hivyo second. Term form 5
 
Mi o level ndo chakula kilikuwa kibovu 🤮🤮🤮🤢🤢
A level chakula kilikuwa sexy sana
 
Haha mazinde juuu hiyo 😹😹
 
Kuna ticha wa kiume alikuwa ana tabia ya kuingia ndani ya mabweni ya watoto wa kike usiku bila hodi kusaka wasioenda prep. Siku madogo wa form two wakamsubiri aingie ndani ya dorm, walikuwa wameandaa bakora zao, waliokuwa vitanda vya juu wakamfunika mablanket, waliokuwa chini wakazima taa wakamtandika bakora vizuri kabisa. Kabla wenge halijamtoka ticha vizuri madogo wakakimbia wote wakamwacha peke yake bwenini. Mpaka kesho hajawahi kujua alipigwa na nani ila ikawa mwisho wa kuvamia madorm bila hodi. Kesho yake form two hawakuingia class walishinda wanatumikia adhabu za nje
 
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Siku ya kwanza nilienda assembly na blanket...walimu walinielewa wanakiambia nisirudie tena Ila kesho yake nilirudi nalo nikapewa kazi ya kuchimba visiki ilinitoke jasho. ..niliifanya hio kazi wk nzima mpk nikazoea baridi. ..boarding ni noma sn
 
Lyamungo shule yetu, mchepuo wa kilimo, pamoja, na fani nyingine,

Elimu tuipatayo, tuzingatie nidhamu, kwani, ndo kipimo chetu

Sisi vijana, hapa Lyamungo, elimu yetu tuitumie kulijenga taifa
 
Boarding bana dah ....
maisha ya kula kwa table dah, nikapangwa na wahuni full ubabe muda wa msosi[emoji23][emoji23][emoji23]
kumiliki illegal material....
Naingia prepo saa mbili nipe nusu saa ni sha horizontal [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti "horizantal"[emoji23][emoji23]
 
Ahaa! Kumbe sisi watu wa TAMISEMI tunafuatilia sababu za mabweni kuungua, kumbe ninyi mnachomea mahindi bwenini. Ngoja tupange mashambulizi[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…