Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwaje😂😂😂😂
 
Attachments

  • IMG_0040.png
    IMG_0040.png
    827.8 KB · Views: 3
Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwaje😂😂😂😂
Kuna mwenzake anaitwa 'haambiliki', siku moja alienda kwenye shamba la baba yake akawa anachezea mahindi kama nyani, baba yake alikuwa analinda mahindi yasiliwe na nyani baada ya Baba kuona mahindi yanatingishika alimpiga risasi haambiliki kwa kudhani ni nyani.
Sasa hivi Haambiliki' hatuko naye kwenye uso wa dunia (RIP).
 
Ahahhaha na tulisoma nae uyo
 
Back
Top Bottom