Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

Yule bwana alijua kunikomoa ,kwanza nilikuwa nikiwa pekee yangu nayavua maana nilikuwa nahisi bichwa linakuwa zito sioni vizuri ,plus macho kuuma Ila ndyo vile tena ningefanyaje na nipo kwenye mkakati wa kupata baiskeli ya kumtembelea kisa Ahmed Suzuki ameletewa baiskeli na aunt yake kutoka ughaibuni kaka?
Ahahhah mm nilianzaga kama wewe mama akawa ana nunua dawa za macho ana ninyunyuzia kila siku nikaacha nikawaambia nimepona mimi nilikuwa nawaonea wivu wanao vaa mewani na nyuma kuna kamba dah
 
hapo dokta ndo alikuja kuharibu mambo,....

vp kuhusu, "mwanangu pepe huna masikio"😂😂🤣
 
Back
Top Bottom