Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

Mwalimu Gatu alikuwa kashika hatamu katika kutusimulia hii hadithi ni kipindi hiko .
Nilikuwa na majanga nyumbani muda wote najiliza kwa kusema macho yanauma kumbe nataka baiskeli ,Basi nikanunuliwa miwani baada ya macho kuwa yanatoa machozi muda wote kumbe najiliza .
Alaaniwe daktari yule aliyenipima akasema nina uono hafifu .

Sasa siku hiyo stori imesimuliwa vizuri na mwalimu bado inaendelea si nikamuandikia barua Zaifati kikonyo ati nampenda Sana ,weeee akatishia kwenda kunishitaki ,Basi nikapasua miwani nikawa narudi nyumbani napepesuka Kama mlevi eti macho hayaoni kumbe ni vile nataka nionewe huruma na Zaifati asipeleke barua ofisini yakanikuta .

Hivyo wakati wa kusimuliwa kisa Cha huyo bwana kwenye picha ,mwenzenu nilikuwa napitia magumu nyumbani na shuleni .😂😂
 
Kuli kuwa Kuna Ile ya la la la, mfalme aliye umwa na nyuki.
Hahaha, long time kweli.
hapo mwalimu akatunga igizo ili watu waelewe zaida,, nikapewa nafasi ya ufalme,, ilipofika kusema "lala laaa" watu vicheko🤣

wakanitunga hilo jina la mfalme 😅, shule nliiona chungu hasa akiingia mwl wa kiswahili,, baati nzuri nikaamishwa shule, nikafurai na jina likaishia hapo,
 
Mwalimu Gatu alikuwa kashika hatamu katika kutusimulia hii hadithi ni kipindi hiko .
Nilikuwa na majanga nyumbani muda wote najiliza kwa kusema macho yanauma kumbe nataka baiskeli ,Basi nikanunuliwa miwani baada ya macho kuwa yanatoa machozi muda wote kumbe najiliza .
Alaaniwe daktari yule aliyenipima akasema nina uono hafifu .

Sasa siku hiyo stori imesimuliwa vizuri na mwalimu bado inaendelea si nikamuandikia barua Zaifati kikonyo ati nampenda Sana ,weeee akatishia kwenda kunishitaki ,Basi nikapasua miwani nikawa narudi nyumbani napepesuka Kama mlevi eti macho hayaoni kumbe ni vile nataka nionewe huruma na Zaifati asipeleke barua ofisini yakanikuta .

Hivyo wakati wa kusimuliwa kisa Cha huyo bwana kwenye picha ,mwenzenu nilikuwa napitia magumu nyumbani na shuleni .😂😂
Ma dr wa macho waongo wantaka mewani zao ziuzike
 
Yule bwana alijua kunikomoa ,kwanza nilikuwa nikiwa pekee yangu nayavua maana nilikuwa nahisi bichwa linakuwa zito sioni vizuri ,plus macho kuuma Ila ndyo vile tena ningefanyaje na nipo kwenye mkakati wa kupata baiskeli ya kumtembelea kisa Ahmed Suzuki ameletewa baiskeli na aunt yake kutoka ughaibuni kaka?
 
hapo mwalimu akatunga igizo ili watu waelewe zaida,, nikapewa nafasi ya ufalme,, ilipofika kusema "lala laaa" watu vicheko🤣

wakanitunga hilo jina la mfalme 😅, shule nliiona chungu hasa akiingia mwl wa kiswahili,, baati nzuri nikaamishwa shule, nikafurai na jina likaishia hapo,
Afadhali nyinyi, mimi sija Soma shule ila nili kisoma Kama starehe tu.
 
Back
Top Bottom