Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwaje๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna mwenzake anaitwa 'haambiliki', siku moja alienda kwenye shamba la baba yake akawa anachezea mahindi kama nyani, baba yake alikuwa analinda mahindi yasiliwe na nyani baada ya Baba kuona mahindi yanatingishika alimpiga risasi haambiliki kwa kudhani ni nyani.
Sasa hivi Haambiliki' hatuko naye kwenye uso wa dunia (RIP).
 
Ahahhaha na tulisoma nae uyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ