Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

Chopeko na mnofu , nafikiri nilikua darasa la pili au la 3 (98/99) nina miaka kama 8 hiv
 
Ahahhah mm nilianzaga kama wewe mama akawa ana nunua dawa za macho ana ninyunyuzia kila siku nikaacha nikawaambia nimepona mimi nilikuwa nawaonea wivu wanao vaa mewani na nyuma kuna kamba dah
 
hapo dokta ndo alikuja kuharibu mambo,....

vp kuhusu, "mwanangu pepe huna masikio"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…