Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

Chopeko alipelekwa mpaka hospital jamaa alikuwa mgumu huyu😁
 
Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwajeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chopeko na mnofu, nilimsoma nikiwa darasa la tatu, mwaka 1997
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…