Unakuta Mwanaume anavuta shuka muda huu, Wenzie tunaponda maisha bar

Mkeo nae yupo na nani?una uhakika yupo nyumbani?
 
Starehe ni ile hali ya mtu kufanya alipendalo ambalo linampa furaha,ni issue ya state of mind,
Enjoyment, ni any activity that gives pleasure,the condition of enjoying anything,

Kama wewe starehe yako ni kua hapo Bar na kulewa haimaniishi kua hiyo ni starehe ya kila mtu,au asiyefanya hiyo starehe ni mshamba,

Wewe ni Mvulana coz mwanaume asingeona sifa kujitangaza JF kua yupo Bar anapigwa mabusu na wauza sukari huku mkewe kamuacha nyumbani akiwa na mtoto mchanga,

Kadiri umri unavyokwenda,siku moja utakuja kutambua kua hii thd yako ilisukumwa na utoto unaokutawala au ulimbukeni.
 
Asilimia 90 ya wabongo wanajua starehe ni kwenda bar tu hawajui starehe nyingine na bar zenyewe sasa muziki kelele hata haueleweki meza zimepauka pauka unajiuliza mtu kafuata starehe hapo au
1. Mazingira ya majumbani si rafiki, vyumba vichache haviwatoshi watu, hakuna games majumbani, Tv zenyewe ubabaifu, mara mke apige makelele, Feni/AC majanga full joto.

2.Hatuna outdoors activities, michezo kama bao/karata na barbecue fulani hivi hata yenye thamani ya 20k (ideally mishikaki) pia haiwezekani.

3.Hatuna public gardens, yenye michezo mbalimbali tuseme twende na watoto/familia. Kila kitu ukienda out kinahitaji pesa, so lazima ufanye kila namna utoke pekeyako.

4.Kujaribu kufit-in na trends na style za maisha ya wengine, infact kuna watu wakikutana jumatatu kazini wanaanza stori za weekend jinsi walivyohama bar moja kwenda nyingine, mwingine kama hana maisha hayo anaona naye aanze kutoka, kwanini apitwe?

5. Wachache wanapenda bar, yaani ni jambo lao moyoni. Kuhang’ na watu wapya, makelel ya music, vyakula vya bar, wachuchu wapya etc.

6. Most of people hawazipendi familia zao/hawaenjoy kukaa na kucheza na watoto wao yaani kutwa kuwatoroka.

7. Vyakula home ni bajeti kali sana, kila kitu kwa ratiba. bites, snacks na viburudisho vingine vimekaa kibajeti sana, nyumbani wala hakuwezi kunoga. Kwahiyo lazima tupoteze muda nje ya majumba yetu.

Kwa ujumla kikubwa ni Mazingira ya nyumbani si rafiki baada ya kazi za kutwa, si rafiki kwa weekends pia option ni moja tu kwa baadhi ya watu KAZINI-BAR hadi mida ya wanga then home kulala kidogo, morning kali unatoroka kwako tena……
 
Mimi bar na makelele si enjoy chochote. Mimi naenjoy zaidi nikiwa na family sehemu tulivu ambapo wakati watu wazima tunaenjoy na watoto nao wanaenjoy kwa michezo na vitu kama hivyo. Na pia mimi si mnywaji kihivyo na hata nikinywa napenda zaidi nikinywa home kuliko nje ya home. Ila umetoa sabahu za msingi kabisa
 

acha makasiriko na utulie ndani

unajifanya unaandika hadithi ndefy kama una uwerevu kumbe ni Mpumbavu tu

Nisikilize hakuna ulichoandika zaidi ya pumba hapo

Mpumbavu ww
 
Reactions: EEX

si huyu hapa mkuu kajibu hoja vzri, sasa nashangaa wengine wanakuja na makasiriko

mkuu hoja yako imekaa poa
 
Hatukuoni lakini si kila mtu ni mwendaji bar kunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…