Tuvumiliane tu kwakweli maana unachokitaka kukipata ni ngumuNi kweli kabisa hata sisi yanatukuta unajikuta unachat na mwanaume dah hela hana sana sana akijitahidi ana simu na laptop. Ukimkataa unasemwa eti unabagua sana, yaan tuendelee kuvumiliana.
Nakazia, kitaani tupo wengi π, kwanini ubeti humuπππMbona mnahangaika sana ilhali kitaa unapishana nao kila siku?! Njoo hata kitaani kwetu basi
πππNakazia, kitaani tupo wengi π, kwanini ubeti humuπππ
Tatizo Mtaan papuchi kupewa tunazungushwa sana....Bora kubet tuNakazia, kitaani tupo wengi π, kwanini ubeti humuπππ
Shikamoo Mama!Tongoza at ur own risk