Unakuta unachat na mtu kwa hisia ya sura ya Beyonce au Rihanna kumbe ni profile photo tu!

Unakuta unachat na mtu kwa hisia ya sura ya Beyonce au Rihanna kumbe ni profile photo tu!

Mbona nyie wote humu mna manyumba ya maana kazi nzuri, wote mnamiliki mandinga makali, na wanawake wazuri wazuri wasiowaomba hela, kikubwa zaidi wote mnajua kukojoza mwanamke.
Sisi hatulalamiki?

Tuvumiliane jamani.

Mtaani nisitongozwe hata jf pia nisitongozwe?
 
Umemaliza yote Mama[emoji108]
 
naona fidel castro kafufuka na kajiunga JF

au na ww umetumia tu picha ya fidel castro

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna profile unaziangalia unataman kabisa kama Kasie cariha yna2 kumbe si za kwao hapo tunachanganyana. Jamani wadada tumia angalau sura zenu

Uzuri wa binadamu anabadilika kadri anavyozidi kuishi Sawa na maji ya mto. Yanapoanzia, katikati ya safari hadi yanapoishia hayalingani, vivyo hivyo binadamu.

Siwezi kuwa nabadili picha yangu kila siku kadri nnavyobadilika, hiyo avatar yangu ni Kasie wa miaka kadhaa huko kitambo.
Kama hukubaliani na hilo wee sinzia tuu acha wenzio wakodoe macho.

The Chorus, volume pls...

Matata the K.
 
Back
Top Bottom