Unakuta unachat na mtu kwa hisia ya sura ya Beyonce au Rihanna kumbe ni profile photo tu!

Unakuta unachat na mtu kwa hisia ya sura ya Beyonce au Rihanna kumbe ni profile photo tu!

Ni Che yule mkuu
Hapana. Vaa miwani ikibidi. Huyo ni Elcommandante Fidel Castro akiwa bado kijana.
Che ni mwingine kabisa aisee....

20200616_103827.jpg
 
Ngoja nikuitie huyu akuhakikishie kunyanzi zangu....

Ati sukari Watu8, Kasie ni mbichii au Kigagula Matata?

Mhakikishie Shimba.
Aaa wapi. Sema nikutumie psychological profile yako uone nilivyofikia hitimisho langu. Uko anda thete wewe Kasie unazugaga watu tu eti uko mhenga....
 
Wenye TECNO mbona tunadharauliwa sana jamani? TECNO mbona simu ya wajanja hii? Mtuwache na trouble zenu aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😀😀 Hizo simu jamaa humu anadai simu yake ina 8gb memory.
Anashangaa anaonyeshwa kuna file lina gb 64+😀
 
Kweli inawezekana ikawa kama usemavyo mkuu. Yaweza kua Fidel Castro huyo. Ila mimi ni admirer wa kazi za wote hao wawili. Thanks for pictures
Hawa jamaa kwa kweli ilikuwa kombinesheni hatari. Waliaminiana sana japo kuna wengine wanaodai kuwa kama Che angekubali kubakia Cuba si ajabu wangesalitiana huko mbele ya safari kama ambavyo imetokea kwa maswahiba wengi katika duru za siasa na mapambano.

Kuna documentary moja inaonyesha jinsi Che alivyosalitiwa mpaka akakamatwa na hatimaye kupigwa risasi na CIA inasikitisha sana. Wamarekani siyo watu aisee.
 
Halafu alikua hana tamaa ya madaraka wala mali. Nadhani aliamua kuacha uwaziri wa viwanda Cuba ili akajiunge kwenye mapambamo ya guerilla ya Chile kama sikosei!

Kuna maelezo mengine kua Vhe Guevara aliwahi kuishi sehemu za Kigoma Tanzania kwa kipindi fulani.

Ni kweli usaliti ni mbaya sana. Kama alivyo uzwa Bwana Yesu ndio hivyohivyo binadamu wanavyoweza kuuza hata kaka na dada zao. Mifano iko mingi sana kwenye harakati za mapambano ya kudai haki, uhuru na usawa Afrika Kusini ya wakati wa ubaguzi wa rangi(apartheid). Weusi waliwauza sana viongozi wao na wengi wao wakajikuta mikononi mwa vyombo vya dola ikiwemo jela
 
Siyo vizuri hivyo kamanda. Sote tu binadamu tena tulioumbwa kwa namna ya ajabu. Labda kama huyo mama alikutendea mambo ya kishetani na huongelei umbo lake ulivyomwona ulipokutana naye....
Braza wangu unajua vyenye ninavokuwaga na utani hapa ..
Kiukweli nmedandia mada tu ila sijawahi kumuona MTU wa jf live ..najuana nao hapa hapa ..tu.kumbuka hapa ni chit chat mkuu..

Siijakusudia kumuumiza yeyote
 
Uwiiiiiiiiiih nimecheka hadi bas, damon lol kumbe Jf mitongozo inahusisha avatar, khaaaaah
 
Harikaa washee....

Watidheee...!!

Hethina mburi, shighana nao...

Kwan' wanmany'jee...!?? Imi ni mwathuu wa Chome....

Wataka picha, wena matunduu..!!??

Mbuutaaa!!.

K'Matata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nin hii mam kubwa sijaelewa lol.
 
Back
Top Bottom