Unakuta unachat na mtu kwa hisia ya sura ya Beyonce au Rihanna kumbe ni profile photo tu!

Unakuta unachat na mtu kwa hisia ya sura ya Beyonce au Rihanna kumbe ni profile photo tu!

Hii ndiyo cyber space
Utamu wake ndiyo huo kuwa nyuma ya keybord

Wengi wanatongoza picha na si wanawake kwani wengine avator zao ni za kike lkn bonge la dume
Hiyo ndiyo cyber space tuliyomo
 
Kaza sauti ukitamka jina la Kasie halafu malizia na Kigagula.

The older the wine...

K Matata.
Vijana hawaelewi kwa nn wine nzuri ni iliyovundikwa muda mrefu
Older wine is the best drink
Wengi wanajua umario tu nakusahau utamaduni wa pwani wanaume wa umri mdogo wengi wameoa wanawake wenye umri mkubwa wengi wanafarijika kwa kuwa ni kama tope ukizama inashikiria vizuri ili umalize vizur
Hongera kasie
 
Uzuri wa binadamu anabadilika kadri anavyozidi kuishi Sawa na maji ya mto. Yanapoanzia, katikati ya safari hadi yanapoishia hayalingani, vivyo hivyo binadamu.

Siwezi kuwa nabadili picha yangu kila siku kadri nnavyobadilika, hiyo avatar yangu ni Kasie wa miaka kadhaa huko kitambo.
Kama hukubaliani na hilo wee sinzia tuu acha wenzio wakodoe macho.

The Chorus, volume pls...

Matata the K.

Nimejikuta nawafikiri dada zangu wote wa Chome, Kuwa ni yupi anaweza akawa ni wewe.
 
Uzuri wa binadamu anabadilika kadri anavyozidi kuishi Sawa na maji ya mto. Yanapoanzia, katikati ya safari hadi yanapoishia hayalingani, vivyo hivyo binadamu.

Siwezi kuwa nabadili picha yangu kila siku kadri nnavyobadilika, hiyo avatar yangu ni Kasie wa miaka kadhaa huko kitambo.
Kama hukubaliani na hilo wee sinzia tuu acha wenzio wakodoe macho.

The Chorus, volume pls...

Matata the K.
Kasie matata. Always jovial...Spreading love and happiness. What a woman [emoji7][emoji7][emoji7][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Mjukuu hujambo?

Kwani hiyo avatar ni ya mschana?

Kama hawaoni kunyanzi kwenye avatar wavalishe helmet bin barakoa.

Kasie Platinumsz.
Uwongo. Kasie Matata hawezi kuwa hata na alama ya kunyanzi huyu. According to my psychological analysis niliyomfanyia kwa kusoma comments zake kwa muda mrefu ninaamini kwa asilimia 99.9% ni binti mbichi tu ambaye ndo kwanza kunakucha sema tu labda ni high class au mtoto wa kishua. Kasie Matata is below 28; and this is a fact !!!
 
Ngoja nikuitie huyu akuhakikishie kunyanzi zangu....

Ati sukari Watu8, Kasie ni mbichii au Kigagula Matata?

Mhakikishie Shimba.
 
Back
Top Bottom