Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Nina uzoefu wa miaka takribani Mitano ya Kufanya kazi na wanawake, asilimia kubwa ya kazi zangu ni kazi za site!
Kwa kawaida kazi za site hasa za ujenzi zinahitaji motisha, kupush kwa nguvu na haraka hata sometimes kutumia lugha za matusi ilimradi kazi zisonge sometimes pia maamuzi ya chap.
Changamoto ya kufanya kazi na wanawake niliyokutana nayo ni hofu ya kutothubutu kazini.. yaani kila kitu wanataka approval ya boss hata ile sehemu ya kujiongeza, hii imeniletea changamoto kubwa sana.
Changamoto ingine ya hawa dada na mama zetu ukiwatreat harshly ile kusongesha kazi utapata lawama nyingi sana hasa kwa sababu ya jinsi yao.. utasikia "Kwa sababu mi mwanamke "
Kuna Dada mmoja niliwahi mpa Sub ya kupaka Rangi mahali.. aliharibu vibaya sana ikabidi nimuondoe.. alinitolea uvivu ati yeye ni mwanamke ataonewa huruma na kupewa kazi ingine.
Mwingine alikuwa Construction Manager wa Kampuni Flani, Baada ya kupata tenda ya kufanya modification kwenye kiwanda chao nikaanza kazi mara moja, aisee alikuwa na kitete kinoma.. ni Engineer ila hajui kazi za site.. kazi ya 20 days anadhani itafanyika ndani ya 5 days.. alikuwa na hofu kubwa ya boss wake.
Binafsi siwakubali wanawake kwenye kazi zinahitaji pressure kubwa..
Ukiwa na boss mwanamke kwenye kazi zenye pressure utapata shida kidogo.
Share experience yako ya kufanya kazi na wanawake!