Unakutana na Changamoto gani unapofanya kazi na Dada/Mama zetu!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Nina uzoefu wa miaka takribani Mitano ya Kufanya kazi na wanawake, asilimia kubwa ya kazi zangu ni kazi za site!

Kwa kawaida kazi za site hasa za ujenzi zinahitaji motisha, kupush kwa nguvu na haraka hata sometimes kutumia lugha za matusi ilimradi kazi zisonge sometimes pia maamuzi ya chap.

Changamoto ya kufanya kazi na wanawake niliyokutana nayo ni hofu ya kutothubutu kazini.. yaani kila kitu wanataka approval ya boss hata ile sehemu ya kujiongeza, hii imeniletea changamoto kubwa sana.

Changamoto ingine ya hawa dada na mama zetu ukiwatreat harshly ile kusongesha kazi utapata lawama nyingi sana hasa kwa sababu ya jinsi yao.. utasikia "Kwa sababu mi mwanamke "

Kuna Dada mmoja niliwahi mpa Sub ya kupaka Rangi mahali.. aliharibu vibaya sana ikabidi nimuondoe.. alinitolea uvivu ati yeye ni mwanamke ataonewa huruma na kupewa kazi ingine.

Mwingine alikuwa Construction Manager wa Kampuni Flani, Baada ya kupata tenda ya kufanya modification kwenye kiwanda chao nikaanza kazi mara moja, aisee alikuwa na kitete kinoma.. ni Engineer ila hajui kazi za site.. kazi ya 20 days anadhani itafanyika ndani ya 5 days.. alikuwa na hofu kubwa ya boss wake.

Binafsi siwakubali wanawake kwenye kazi zinahitaji pressure kubwa..

Ukiwa na boss mwanamke kwenye kazi zenye pressure utapata shida kidogo.

Share experience yako ya kufanya kazi na wanawake!
 
Hujakutana na wanawke smart bado.Kwenye hiyo hiyo field.Kama ushafany kaz na engeneering consults, aisee nimekutana na ma service engineers bright sana sana.Wanajua mambo utaomba poo.
Tushawah kuwa sub contractor pale NMB HQ sanaa house ikiwa inajengwa na mm nikiwa pm aisee hich ulokisema ungeweza kubadili mtazamo.
Ofcz experience ya 5 years is not enough.
 
Wanawake wana a lot of excuse. Mfano.
-Menses.
-Pregnancy.
-Breastfeeding.
-Mood swings.
-Divorce.
-Relationship misunderstanding.
-Motherhood.

Yaani karibu kila wiki mwanamke anaibuka na kimojawapo, na vyote vinaathiri utendaji wake.

Primarily mwanamke anapaswa kutulia nyumbani, alee watoto na kufanya kazi za nyumbani. Lakini maisha ndio hivyo yanawalazimisha wanawake kuingia mitaani kufanya kazi.
 
I Agree.. 5 yrs experience bado ndogo.
 
Hujakutana na wanawke smart bado.Kwenye hiyo hiyo field.Kama ushafany kaz na engeneering consults, aisee nimekutana na ma service engineers bright sana sana.Wanajua mambo utaomba poo.
Tushawah kuwa sub contractor pale NMB HQ sanaa house ikiwa inajengwa na mm nikiwa pm aisee hich ulokisema ungeweza kubadili mtazamo.
Ofcz experience ya 5 years is not enough.
I Agree.. 5 yrs experience bado ndogo
Wanawake wana a lot of excuse. Mfano.
-Menses.
-Pregnancy.
-Breastfeeding.
-Mood swings.
-Divorce.
-Relationship misunderstanding.
-Motherhood.

Yaani karibu kila wiki mwanamke anaibuka na kimojawapo, na vyote vinaathiri utendaji wake.

Primarily mwanamke anapaswa kutulia nyumbani, alee watoto na kufanya kazi za nyumbani. Lakini maisha ndio hivyo yanawalazimisha wanawake kuingia mitaani kufanya kazi.
😂😂😂
 
Nafanya kazi na wadada. Hata immediate boss wangu ni mdada. Labda kwa kuwa sio engineering, lakini hawa watu ni super smart.

Huyo boss wangu kwanza hasahaugi kitu. Hata miaka atakwambia nilikuassign hivi na hivi na hivi.

Kwny pressure na crisis mi ndo huwa napanick yeye calm. Sijui ni experience au personality tu ya mtu na mtu?
 
Kuna mmoja Huyo alieanza vimaneno maneno pale ofisini.Maneno ambayo Kama yangesambaa Basi Kuna siku ningekuwa segerea .

Na kwasababu aliniona mpole maana Mimi sio muongeaji sana in real life .

Sasa Kuna siku tukawa na kikao Cha ofisi mwisho wa mwaka watu wanatoa maoni yao acha bwana

Nikamchana mbele ya watu wote Tena Kuna watu wazima mule ndani hawakuamini macho yao halafu nikatoka zangu huyooooo!!! Nikaishia .

Since thena tunaheshimiana Sana na mule ndani wakajua Jamaa hapendi longolongo ukimzingua anakuchana hapo hapo mbele ya kadamnasi

Yule mama knipita miaka Kama 18 hivi.
 
Wanawake aisee dah! Ila ukibahatika kufanya kazi na ainaflani hivi ya wanawake ambao ni nadra sana utafurahia kazi, nashindwa kuwaelezea kwa kina hapa!
Wapo wanawake flani hivi wawili nilikuwa napiga nao mission mbalimbali mahali , ilikuwa full burudani, yaani kiufupi ilikuwa ni kazi na bata tulikamilisha zile mission kwa ufasaha sana bila tatizo lolote na tulidumu kwa miaka kama mitatu, baadae tukatawanywa sehemu tofauti kwa kweli tunawasiliana lakini huwa wananiambia huko walipo hawafurahii kabisa bondi walizonazo huko, now nina mission moja, boss kaleta mke wake, yaani hata ukikohoa kwenye kikao au site basi boss lazima ajue! Yaani huyu mwanamke ni tabu tupu, kila siku lazima aje na kisirani! Hadi wakati mwingine anatamka yanayojadiliwa hapa hata mme wangu ni sehemu ya hayo majadiliano kwa kuwa mimi na yeye ni mwili mmoja!
Nakatamani siku moja nikakunje kama kambale, nikavimbishe kabisa ngoja siku yake inafika! Kasnitch sana haka...
 
Kuna mmoja Huyo alieanza vimaneno maneno pale ofisini.Maneno ambayo Kama yangesambaa Basi Kuna siku ningekuwa segerea .

Na kwasababu aliniona mpole maana Mimi sio muongeaji sana in real life .

Sasa Kuna siku tukawa na kikao Cha ofisi mwisho wa mwaka watu wanatoa maoni yao acha bwana

Nikamchana mbele ya watu wote Tena Kuna watu wazima mule ndani hawakuamini macho yao halafu nikatoka zangu huyooooo!!! Nikaishia .

Since thena tunaheshimiana Sana na mule ndani wakajua Jamaa hapendi longolongo ukimzingua anakuchana hapo hapo mbele ya kadamnasi

Yule mama knipita miaka Kama 18 hivi.
Hawa Viumbe wanazingua sana sehemu za kazi.
 
Nina uzoefu wa miaka takribani Mitano ya Kufanya kazi na wanawake, asilimia kubwa ya kazi zangu ni kazi za site!

Kwa kawaida kazi za site hasa za ujenzi zinahitaji motisha, kupush kwa nguvu na haraka hata sometimes kutumia lugha za matusi ilimradi kazi zisonge sometimes pia maamuzi ya chap.

Changamoto ya kufanya kazi na wanawake niliyokutana nayo ni hofu ya kutothubutu kazini.. yaani kila kitu wanataka approval ya boss hata ile sehemu ya kujiongeza, hii imeniletea changamoto kubwa sana.

Changamoto ingine ya hawa dada na mama zetu ukiwatreat harshly ile kusongesha kazi utapata lawama nyingi sana hasa kwa sababu ya jinsi yao.. utasikia "Kwa sababu mi mwanamke "

Kuna Dada mmoja niliwahi mpa Sub ya kupaka Rangi mahali.. aliharibu vibaya sana ikabidi nimuondoe.. alinitolea uvivu ati yeye ni mwanamke ataonewa huruma na kupewa kazi ingine.

Mwingine alikuwa Construction Manager wa Kampuni Flani, Baada ya kupata tenda ya kufanya modification kwenye kiwanda chao nikaanza kazi mara moja, aisee alikuwa na kitete kinoma.. ni Engineer ila hajui kazi za site.. kazi ya 20 days anadhani itafanyika ndani ya 5 days.. alikuwa na hofu kubwa ya boss wake.

Binafsi siwakubali wanawake kwenye kazi zinahitaji pressure kubwa..

Ukiwa na boss mwanamke kwenye kazi zenye pressure utapata shida kidogo.

Share experience yako ya kufanya kazi na wanawake!

Ngoja waje wanaofanya kazi na wanawake/madada.

Cc: Mahondaz
 
Kuna mmoja Huyo alieanza vimaneno maneno pale ofisini.Maneno ambayo Kama yangesambaa Basi Kuna siku ningekuwa segerea .

Na kwasababu aliniona mpole maana Mimi sio muongeaji sana in real life .

Sasa Kuna siku tukawa na kikao Cha ofisi mwisho wa mwaka watu wanatoa maoni yao acha bwana

Nikamchana mbele ya watu wote Tena Kuna watu wazima mule ndani hawakuamini macho yao halafu nikatoka zangu huyooooo!!! Nikaishia .

Since thena tunaheshimiana Sana na mule ndani wakajua Jamaa hapendi longolongo ukimzingua anakuchana hapo hapo mbele ya kadamnasi

Yule mama knipita miaka Kama 18 hivi.
Pole sana mkuu.. hawa viumbe ni changamoto sana.
 
Wanawake wana a lot of excuse. Mfano.
-Menses.
-Pregnancy.
-Breastfeeding.
-Mood swings.
-Divorce.
-Relationship misunderstanding.
-Motherhood.

Yaani karibu kila wiki mwanamke anaibuka na kimojawapo, na vyote vinaathiri utendaji wake.

Primarily mwanamke anapaswa kutulia nyumbani, alee watoto na kufanya kazi za nyumbani. Lakini maisha ndio hivyo yanawalazimisha wanawake kuingia mitaani kufanya kazi.

Big 4 auditing firm zinajua sana kuwatumia wanawake.. mwanamke hapewi nafasi kizembe
 
Wewe kama umeamua kuajiri wanawake kwenye kazi basi inabidi ujipange na backup staff wakutosha.
Saa yoyote anaweza kukwambia najisikia vibaya, ninaumwa, nina matatizo fulani nk.

Lakini ukipata mwanamke chuma (iron lady) unaweza kuenjoy sana kazi zako. Na hao ni wachache sana.

Kwa uzoefu wangu mdogo, wanawake wengi huwa wanafiti kwenye hizi kazi, na wanazipenda sana.
-Reception.
-Office secretary.
-Accounting.
-Office maid/Attendance.
-Legal officer.
 
Tatizo kubwa sana la wanawake maeneo ya kazi ni kule kulazimisha mazingira yao ya kazi kuwa ndio mazingira yao ya maisha ya kijamii. Yaani hawawezi kutofautisha kazi na maisha yao mengine binafsi. Yaani ofisi ikijaa wanawake hapo ni umbeya tu, ushosti, visa, mikasa na kila upuuzi.

Yaani mwanamke anatamani kujua umekula nini, ulichokivaa umenunua wapi, mke au mumeo ni nani, watoto wako wakoje, umepanga nini mwaka huu, unaishi wapi, unaishije nk.
 
Back
Top Bottom