Unakutana naye Uso kwa Uso(Mwanamke) ,Gafla unajikuta mafaili yote kichwani Yamecorrupt

Unakutana naye Uso kwa Uso(Mwanamke) ,Gafla unajikuta mafaili yote kichwani Yamecorrupt

Mi ishanitokea alikuwa besty sana na sister wangu.. Yaani siku akija nikushinda chumbani tu sebleni napaona pa chungu ata kama kuna kipindi gani si chomoki nje ila nikisikia sauti yake akiaga nabaki kumchungulia dirishani tu daah
hahaha mkuu ww ndo inaonekana ulikuwa kilaza kabisa
 
Nyakati zileeeee, wakati huo kupata papuchi ni kazi haswaaa, kuiona kwa mbinde hadi ubahatike katoto ka kike kakiogeshwa, sio kwa kizazi hiki! Jana tu nimemtolea mtu nje(ke) kajivulisha ch*pi mchana kweupeeee peee tena ofisini bahati mbaya sana sina hisia nae kbsaaaa hasa kwasababu ya unyodonyodo wake anajiskiaa huyo balaa, mie akhu!
kwahiyo mkuu umeitosa papuchi hivi hivii[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
kama inavyosemekana kwamba mganga hajigangi,,
Ndivo Ninavyoona katika sector hii ya kutongoza inavyo kuwa applied,,
Nakumbuka rafiki yangu mmoja hiv alikuwa ni fundi wa kutufundisha maujanja,,
Ikatokea siku ndo zamu yakee [emoji12] [emoji12] ,,
Ilikuwa ni shida tupu
hahaha mimi najuaga yaan ukishampenda mwanamke tu unajikuta mistar yote inapotea kichwani alafu cha ajabu ww ni cocha wa kuwacochi wenzio ikifika kwako sasa unaanza kumbwela
 
Mkuu, siku moja nilikwenda ofisi za Tanesco pale Mikocheni... Kwenye hiyo ofisi kuna dada mmoja mzuri kama malaika... Cheupe peee! Yan yule dada asingekuwa kaolewa, ningehonga mafao yangu yote ya NSSF...
mkuu pindua tu serikali hakuna namna watoto kama hao hawachwi ni dhambi kubwa mbele ya shetani
 
Duh mm ishanitokakea yani najikoki ''breath in breath out' naenda na kasi yote fika kwa mtoto mrito, namsimamisha afu eti anasimama kweli toba hapo ndio negativity folder inafunguka mamaa what if mingi, mbaya zaidi kuliko anikatalie huyu asee ntadata basi baada ya hyo scary flash naishia kumwambia sory nmekufananisha mambo VP lkn... Hukunaumia kudhulumu nafsi
hahaha dah mkuu ww ndo hovyo kabisa

hujawai muliza otea nimekwitia nini ?
 
Mi nilimsomesha kuwa nikitoka pindi ntakuchek nashida na wewe nataka tulonge moja mbili. Eeh ila mda wa kuchomoka si akanisubiri sehemu niliyomwambia daa ile kukaribia kila nikimwangalia moyo unakimbia km usan bolt weee nikageuza njia nikasepa.....
Eti kesho yake kujifanya mwanaume eti nimsimamishe tena nilichambwaje...sijui alikuwa mzaramo yule maana nililowa kwa michambo. Tangu siku hiyo confidence ika rise up. It was long time ago 2002 ......sitasahau
hahaha duh kweli watu tunatoka mbali nimecheka sana
 
Mimi ke!!! Sitongozi mkuu... Ila imewai tokea unamnyemelea mkaka, siku akikusimamisha kuongea na wewe unakosa ata la kujibu. Unaweza ulizwa "unaenda wapi" ukajikuta unamjibu "napenda chapati"
huko kumnyemelea ndo kumtongoza maana,lazima,utamwonyesha ishara tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mimi ke!!! Sitongozi mkuu... Ila imewai tokea unamnyemelea mkaka, siku akikusimamisha kuongea na wewe unakosa ata la kujibu. Unaweza ulizwa "unaenda wapi" ukajikuta unamjibu "napenda chapati"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ke!!! Sitongozi mkuu... Ila imewai tokea unamnyemelea mkaka, siku akikusimamisha kuongea na wewe unakosa ata la kujibu. Unaweza ulizwa "unaenda wapi" ukajikuta unamjibu "napenda chapati"
paprika kwani hakuna jinsia ya Ke wanaotongoza ?
Kwani wao wameweza wana nini mpaka ushindwe unani[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
 
Mi katika maisha yangu nilifukuzia manzi mmoja tu, tena alisababisha hadi nigongwe na nyoka sababu ya kumvizia kwenye kona akitoka shop mwaka 2001 hiyo. Tangu hapo nikaachana na hiyo kazi, sababu alinizingua sana, eti "we kaka vipi, umenifananisha?!" Yaan kila siku namtongoza upya! Shwain kabisa! Ilipofika 2004 ndio nikaanza kuwaongeza njia, tena kirahisi tu. Atakayejichekesha tu, namshika kiuno, mara mkono, mara paja! Najifanya kama nimekosea, akitulia tu asipokuwa mkali, nachomoa jambia langu naanza kufyeka magugu. Nimeweza kutoa huduma kwa njia hii kwa makumi ya mamanzi!! Hata mama chanja wangu aliponzwa na kunikenulia meno, wala sikumuimbisha, tunadunda hadi leo!
 
Back
Top Bottom