Unakutana naye Uso kwa Uso(Mwanamke) ,Gafla unajikuta mafaili yote kichwani Yamecorrupt

Unakutana naye Uso kwa Uso(Mwanamke) ,Gafla unajikuta mafaili yote kichwani Yamecorrupt

Mi katika maisha yangu nilifukuzia manzi mmoja tu, tena alisababisha hadi nigongwe na nyoka sababu ya kumvizia kwenye kona akitoka shop mwaka 2001 hiyo. Tangu hapo nikaachana na hiyo kazi, sababu alinizingua sana, eti "we kaka vipi, umenifananisha?!" Yaan kila siku namtongoza upya! Shwain kabisa! Ilipofika 2004 ndio nikaanza kuwaongeza njia, tena kirahisi tu. Atakayejichekesha tu, namshika kiuno, mara mkono, mara paja! Najifanya kama nimekosea, akitulia tu asipokuwa mkali, nachomoa jambia langu naanza kufyeka magugu. Nimeweza kutoa huduma kwa njia hii kwa makumi ya mamanzi!! Hata mama chanja wangu aliponzwa na kunikenulia meno, wala sikumuimbisha, tunadunda hadi leo!
hahaha ,umetisha sana mkuu
 
Mkuu, siku moja nilikwenda ofisi za Tanesco pale Mikocheni... Kwenye hiyo ofisi kuna dada mmoja mzuri kama malaika... Cheupe peee! Yan yule dada asingekuwa kaolewa, ningehonga mafao yangu yote ya NSSF...
Kwan kuolewa tatzo mkuu?!
 
Ishanitokea mazee, ila sterling hafi kirahisi....nikajiulizisha ofc za TRA zko wapi akat naziona, nikazuga et me stranger![emoji12]
 
Ishanitokea mazee, ila sterling hafi kirahisi....nikajiulizisha ofc za TRA zko wapi akat naziona, nikazuga et me stranger![emoji12]
Nilipomng'ata akajua me mwnyej, nikamchana tu kuwa nlikosa ujacr cku ya kwnz
 
Ishanitokea mazee, ila sterling hafi kirahisi....nikajiulizisha ofc za TRA zko wapi akat naziona, nikazuga et me stranger![emoji12]
sterling huwa anakufa inategemea anacheza movie gani kama ya kihindi lazima afe
 
maana ukimwambia kitu anakuelewa sio hawa wenzangu na mimi wa bongo fleva leo unaweza ukamwambia hivi kesho ukirudi labda uwendelee ulipoishia unajikuta anakurudisha mwanzo anajifanya hakukuelewa
....yan watu wazima raha sn, one day nmemtania tu mrwmbo kuwa nimemis kula ugali msusa akanambia njoo kesho nikupkie, 'kinyunyi' ckufanya kosa nikaenda kula ugali msusa na roast maini nikakaribishwa na kupumzka masterbed, full kukamua papuchi!
 
hahaha mimi nawaelewaga sana hawa watu maana huwa mnamalizana kibingwa na hakuna nzi mtaani..

Nakumbukaga kitambo hiyo kuna mma mmoja wa kisomali alikuwa anamtania sister wifi ,mixer ooh kaka ako nampenda
sister akanifikishia siku,basi na mimi nilivyokuwa sinogi basi kuna siku akaniita om kwake sijui nikamtengenezee nini bwana ,
Niko ukumbini natengeneza akajipitisha na kikanga kimoja alafu mixer kama alikivua makusudi akajifanya kama kamemdondoka ,basi nikajikita mashetani yote yamepanda sijui makata bedui samsuli ,kuja kutahamaki nishakula chano chote ,

Yaan hii mitihaani huwa nafeli na sijui kwanini
 
Back
Top Bottom