Unakutana naye Uso kwa Uso(Mwanamke) ,Gafla unajikuta mafaili yote kichwani Yamecorrupt

Unakutana naye Uso kwa Uso(Mwanamke) ,Gafla unajikuta mafaili yote kichwani Yamecorrupt

Zana zangu wewe hazikufai mkuu!!! Ila nikivutiwa na mtu ntafanya mpaka huyo mtu avutiwe nami!!! Yeye mwenyewe ndo anitongoze.
hahaha natamani siku nikuone ukiwa kwenye harakati zako za kumvutia mwekezaji mpya ili aje awekeze[emoji1] [emoji1] [emoji87]
 
hahaha mimi nawaelewaga sana hawa watu maana huwa mnamalizana kibingwa na hakuna nzi mtaani..

Nakumbukaga kitambo hiyo kuna mma mmoja wa kisomali alikuwa anamtania sister wifi ,mixer ooh kaka ako nampenda
sister akanifikishia siku,basi na mimi nilivyokuwa sinogi basi kuna siku akaniita om kwake sijui nikamtengenezee nini bwana ,
Niko ukumbini natengeneza akajipitisha na kikanga kimoja alafu mixer kama alikivua makusudi akajifanya kama kamemdondoka ,basi nikajikita mashetani yote yamepanda sijui makata bedui samsuli ,kuja kutahamaki nishakula chano chote ,

Yaan hii mitihaani huwa nafeli na sijui kwanini
[emoji12] [emoji23] [emoji23] hlf badae anadeshi kukwmbia hivi umenipataje we mshenzi yan ht siamini!
 
Hivi ushawahi kukutana na hii kitu ,
Mie ishanikuta kitambo hichooo,

Unajikuta umemzimia bint flani ila unakosa ujasiri wa kumtokea,
Na ukute hapo ww ni cocha mzuri wa kuwapika wenzako ila imefika kwako unajikuta umepalalize gafla ,

Washkaji kitaa wanakupa sapot na kukupa mikakati ya kumvaa huyu bint ,na hao ndio uliokuwa unawatrain ,ila ajabu leo kwako unashindwa kujilipuwa ,
Hapa ndo naamini kwenye mapenzi hakuna mjuzi mzee,

Baada ya kupewa mbinu za hapa na pale na kuongezewa Dripu ya ujasiri baada ya kujikuta umepungukiwa nayo mwilini,

Cha kuchekesha sasa
Inatokea siku gafla unakutana naye mlengwa katika pita pita zako mtaani,kumwona tu unajikuta unastuka gafla
Hujakaa vizuri kale kaugonjwa kautoto unahisi kama kanataka kurudia (Dege dege)ila unajikaza ,

Unakusanya nguvu ili umpe maneno hata mawili matatu unamsimamisha ana simama ,gafla unajikuta faili zote kichwani zimecorrupt ,hujui hata nini cha kumwambia unabaki kama mtu alokumbwa na ugonjwa wa kifafa
Bint ana amuwa kwenda zake maana huna cha kumwambia

kama na ww ishakukuta ebu tupe ushuhuda wako hapa ,
maana mie nimepata cha kuja wahadithia wajukuu zangu wakati nasubir ugali wa bure [emoji1] [emoji1] [emoji1]
ndio mimi kila nikiona post za mtoto Inna network inakata. im waitin for response
 
hahaha ulijuaje ndo kauli zao mie nachekaga tu,

maana hapo ushindi wangu ni wamezani
Yap, c'unajua na mm mulemule!
Hlf ukiwa gentleman wala humjibu kitu acje kujckia vby.
Mwngne nae alituma txt ya 'happy new year" kwnd kwa contact zote za cm yake nami nikaipata hyo txt nikaifanyia decoding, hlf nikajibu ahsnt nitakuja kukutembelea nikaambiwa krb! Ckufanya kosa nikafika nikakaribishwa matunda, baada ya kumaliza nikajifaragua hivi ujue nmekusalimia ila cjakuhag nae akajisogeza vichuchu vikanichoma kifuani, kosa kubwa sana yan alikuja kustuka keshapigwa 3in1, hakuamini nae akaniuliza tn swali lile lile[emoji3]
 
Back
Top Bottom