Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
- Thread starter
-
- #21
hahaha umenichekesha sanaDaaah mimi kipindi icho niko primary ndo mambo hayo yalinitokea
Nilikuwa naona aibu kindezi ata kumwangalia demu usoni nashindwa daaaah sijui nilikuwaje
hahaha mkuu ww ndo inaonekana ulikuwa kilaza kabisaMi ishanitokea alikuwa besty sana na sister wangu.. Yaani siku akija nikushinda chumbani tu sebleni napaona pa chungu ata kama kuna kipindi gani si chomoki nje ila nikisikia sauti yake akiaga nabaki kumchungulia dirishani tu daah
hahaha kwahiyo mpaka leo mkuu hiyo hali unayo?hiyo mkuu inanitokeaga endapo huyo mwanamke anakuwa nimempenda sana tena kwa moyo wote... akiwa hivyo yaan hata kumwambia "mambo" roho inadunda!!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kipindi C.V haina uzoefu wa kazi imenitokea sana
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Weka picha ndugu, nione kama nimeanza kuona bongo movie...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ila uliyempenda hata kama mbaya utaiona tamu ,maana siku zote utamu unaomwenyeweInakuwa mbaya demu umemzimia kishenzi, unmalamba unagundua mashine mbovu hadi unajuta...
kwahiyo mkuu umeitosa papuchi hivi hivii[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nyakati zileeeee, wakati huo kupata papuchi ni kazi haswaaa, kuiona kwa mbinde hadi ubahatike katoto ka kike kakiogeshwa, sio kwa kizazi hiki! Jana tu nimemtolea mtu nje(ke) kajivulisha ch*pi mchana kweupeeee peee tena ofisini bahati mbaya sana sina hisia nae kbsaaaa hasa kwasababu ya unyodonyodo wake anajiskiaa huyo balaa, mie akhu!
Hahahhahhmimi ilishatokeaga mmoja nilikuwa nikimwona tu natoka ndukiii.....
Maumivu yake hayatofautiani na wale wanaouziwa sabuni wakidhani smartphone pale ubungoInakuwa mbaya demu umemzimia kishenzi, unmalamba unagundua mashine mbovu hadi unajuta...
hahaha mimi najuaga yaan ukishampenda mwanamke tu unajikuta mistar yote inapotea kichwani alafu cha ajabu ww ni cocha wa kuwacochi wenzio ikifika kwako sasa unaanza kumbwelakama inavyosemekana kwamba mganga hajigangi,,
Ndivo Ninavyoona katika sector hii ya kutongoza inavyo kuwa applied,,
Nakumbuka rafiki yangu mmoja hiv alikuwa ni fundi wa kutufundisha maujanja,,
Ikatokea siku ndo zamu yakee [emoji12] [emoji12] ,,
Ilikuwa ni shida tupu
mkuu pindua tu serikali hakuna namna watoto kama hao hawachwi ni dhambi kubwa mbele ya shetaniMkuu, siku moja nilikwenda ofisi za Tanesco pale Mikocheni... Kwenye hiyo ofisi kuna dada mmoja mzuri kama malaika... Cheupe peee! Yan yule dada asingekuwa kaolewa, ningehonga mafao yangu yote ya NSSF...
ishakutokea ???[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaitwa kupanick!
hahaha dah mkuu ww ndo hovyo kabisaDuh mm ishanitokakea yani najikoki ''breath in breath out' naenda na kasi yote fika kwa mtoto mrito, namsimamisha afu eti anasimama kweli toba hapo ndio negativity folder inafunguka mamaa what if mingi, mbaya zaidi kuliko anikatalie huyu asee ntadata basi baada ya hyo scary flash naishia kumwambia sory nmekufananisha mambo VP lkn... Hukunaumia kudhulumu nafsi
hahaha duh kweli watu tunatoka mbali nimecheka sanaMi nilimsomesha kuwa nikitoka pindi ntakuchek nashida na wewe nataka tulonge moja mbili. Eeh ila mda wa kuchomoka si akanisubiri sehemu niliyomwambia daa ile kukaribia kila nikimwangalia moyo unakimbia km usan bolt weee nikageuza njia nikasepa.....
Eti kesho yake kujifanya mwanaume eti nimsimamishe tena nilichambwaje...sijui alikuwa mzaramo yule maana nililowa kwa michambo. Tangu siku hiyo confidence ika rise up. It was long time ago 2002 ......sitasahau
Mimi ke!!! Sitongozi mkuu... Ila imewai tokea unamnyemelea mkaka, siku akikusimamisha kuongea na wewe unakosa ata la kujibu. Unaweza ulizwa "unaenda wapi" ukajikuta unamjibu "napenda chapati"ishakutokea ???[emoji1] [emoji1] [emoji1]
huko kumnyemelea ndo kumtongoza maana,lazima,utamwonyesha ishara tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi ke!!! Sitongozi mkuu... Ila imewai tokea unamnyemelea mkaka, siku akikusimamisha kuongea na wewe unakosa ata la kujibu. Unaweza ulizwa "unaenda wapi" ukajikuta unamjibu "napenda chapati"
Mimi ke!!! Sitongozi mkuu... Ila imewai tokea unamnyemelea mkaka, siku akikusimamisha kuongea na wewe unakosa ata la kujibu. Unaweza ulizwa "unaenda wapi" ukajikuta unamjibu "napenda chapati"
paprika kwani hakuna jinsia ya Ke wanaotongoza ?Mimi ke!!! Sitongozi mkuu... Ila imewai tokea unamnyemelea mkaka, siku akikusimamisha kuongea na wewe unakosa ata la kujibu. Unaweza ulizwa "unaenda wapi" ukajikuta unamjibu "napenda chapati"