Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
- Thread starter
-
- #61
ikitokea sasa umemfia mtu huwa unafanyaje ebu nipe mautundu yako[emoji441] na zana zako za kivita unazotumia kumteka mtuMimi sitaki kutongoza!!!
Zana zangu wewe hazikufai mkuu!!! Ila nikivutiwa na mtu ntafanya mpaka huyo mtu avutiwe nami!!! Yeye mwenyewe ndo anitongoze.ikitokea sasa umemfia mtu huwa unafanyaje ebu nipe mautundu yako[emoji441] na zana zako za kivita unazotumia kumteka mtu
hahaha mkuu n'gombe hazeeki maini ebu acha kunifiti mkuuNyoka mwenyewe kazeeka achana naye.
hahaha mkuu ww ndo inaonekana ulikuwa kilaza kabisa
hahaha natamani siku nikuone ukiwa kwenye harakati zako za kumvutia mwekezaji mpya ili aje awekeze[emoji1] [emoji1] [emoji87]Zana zangu wewe hazikufai mkuu!!! Ila nikivutiwa na mtu ntafanya mpaka huyo mtu avutiwe nami!!! Yeye mwenyewe ndo anitongoze.
hahaha kweli mkuu watu tunatoka mbaliiHaha enzi hizo mkuu
Kwani utajua kua niko kwenye harakati?hahaha natamani siku nikuone ukiwa kwenye harakati zako za kumvutia mwekezaji mpya ili aje awekeze[emoji1] [emoji1] [emoji87]
Silaha ya uzee ikishindwa nitakuja na nyingine mkuu[emoji23]hahaha mkuu n'gombe hazeeki maini ebu acha kunifiti mkuu
inabidi unidokeze mzee mwenzio ila unapokwama nikupe mikakati ,Kwani utajua kua niko kwenye harakati?
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Expectation Vs Reality
Hapana acha wazee tujilie vyetu maana ujanani tulikuwa tunatafuta we endelea kutafuta kwanzaSilaha ya uzee ikishindwa nitakuja na nyingine mkuu[emoji23]
[emoji12] [emoji23] [emoji23] hlf badae anadeshi kukwmbia hivi umenipataje we mshenzi yan ht siamini!hahaha mimi nawaelewaga sana hawa watu maana huwa mnamalizana kibingwa na hakuna nzi mtaani..
Nakumbukaga kitambo hiyo kuna mma mmoja wa kisomali alikuwa anamtania sister wifi ,mixer ooh kaka ako nampenda
sister akanifikishia siku,basi na mimi nilivyokuwa sinogi basi kuna siku akaniita om kwake sijui nikamtengenezee nini bwana ,
Niko ukumbini natengeneza akajipitisha na kikanga kimoja alafu mixer kama alikivua makusudi akajifanya kama kamemdondoka ,basi nikajikita mashetani yote yamepanda sijui makata bedui samsuli ,kuja kutahamaki nishakula chano chote ,
Yaan hii mitihaani huwa nafeli na sijui kwanini
hahaha ulijuaje ndo kauli zao mie nachekaga tu,[emoji12] [emoji23] [emoji23] hlf badae anadeshi kukwmbia hivi umenipataje we mshenzi yan ht siamini!
Paprika katika ubora wakeZana zangu wewe hazikufai mkuu!!! Ila nikivutiwa na mtu ntafanya mpaka huyo mtu avutiwe nami!!! Yeye mwenyewe ndo anitongoze.
Acha kabisa mkuu, huyo manzi amesababisha hadi leo nikikutana au nikichat na jamaa zangu mitandaoni lazima wananitanie!![emoji35] [emoji35] [emoji35]hahaha ,umetisha sana mkuu
ndio mimi kila nikiona post za mtoto Inna network inakata. im waitin for responseHivi ushawahi kukutana na hii kitu ,
Mie ishanikuta kitambo hichooo,
Unajikuta umemzimia bint flani ila unakosa ujasiri wa kumtokea,
Na ukute hapo ww ni cocha mzuri wa kuwapika wenzako ila imefika kwako unajikuta umepalalize gafla ,
Washkaji kitaa wanakupa sapot na kukupa mikakati ya kumvaa huyu bint ,na hao ndio uliokuwa unawatrain ,ila ajabu leo kwako unashindwa kujilipuwa ,
Hapa ndo naamini kwenye mapenzi hakuna mjuzi mzee,
Baada ya kupewa mbinu za hapa na pale na kuongezewa Dripu ya ujasiri baada ya kujikuta umepungukiwa nayo mwilini,
Cha kuchekesha sasa
Inatokea siku gafla unakutana naye mlengwa katika pita pita zako mtaani,kumwona tu unajikuta unastuka gafla
Hujakaa vizuri kale kaugonjwa kautoto unahisi kama kanataka kurudia (Dege dege)ila unajikaza ,
Unakusanya nguvu ili umpe maneno hata mawili matatu unamsimamisha ana simama ,gafla unajikuta faili zote kichwani zimecorrupt ,hujui hata nini cha kumwambia unabaki kama mtu alokumbwa na ugonjwa wa kifafa
Bint ana amuwa kwenda zake maana huna cha kumwambia
kama na ww ishakukuta ebu tupe ushuhuda wako hapa ,
maana mie nimepata cha kuja wahadithia wajukuu zangu wakati nasubir ugali wa bure [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yap, c'unajua na mm mulemule!hahaha ulijuaje ndo kauli zao mie nachekaga tu,
maana hapo ushindi wangu ni wamezani