Unakutana naye Uso kwa Uso(Mwanamke) ,Gafla unajikuta mafaili yote kichwani Yamecorrupt

Ilinitokea Wakati Nasoma Chuo Kuna Dada Nilikuwa Nampenda Sana,Nilikuwa Najipanga Kila Siku Kuwa Nitamwambia Jinsi Anavyounyanyasa Mtima Wangu Balaa Nikikutana Naye Napata Ugonjwa Wa Ghafla Sijielewi Mpaka Jina Lake Nasahau Moyo Unadunda Kwa Mwendo Kasi. Haya Mambo Sio Ya Kuchekana, YALINIKUTA
 
Acha kabisa mkuu, huyo manzi amesababisha hadi leo nikikutana au nikichat na jamaa zangu mitandaoni lazima wananitanie!![emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hahaha yaan tena ujinga haya mambo washkaji wakikuona tu huwa wanakumbushia hata ukijifanya mjanja vipi
 
Dah ww tena umezidi ,[emoji1] [emoji1] [emoji1] yaan inaonekana hutaki mzaha kabisaa na hawa watu ,yaan asirogwe akakujaribu kwa kweli,
hahaha andike kaumiya
 
Ni kweli na mimi naamini kila mtu anapitia sema wengine wanajitia hawajapitia huu ni uwongo wa kiwango cha lamii
 
Binti unapokutana nae first time hata kama umempenda vp mchukulie simple hapo utakua na confidence zaidi ya kusema nae chochote.
 
Umenipa maujanja mapya,,
Ngoja nianze kutumia hii njia mpya,,
 
Umenipa maujanja mapya,,
Ngoja nianze kutumia hii njia mpya,,
mkuu hawa wa saiv ukijaribu tu kumpapasa hasa yale maeneo ya unga limeted basi hakikisha una helment kichwani maana utakula bao hilo,,
sio la nchii hii

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hehehehe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah ww tena umezidi ,[emoji1] [emoji1] [emoji1] yaan inaonekana hutaki mzaha kabisaa na hawa watu ,yaan asirogwe akakujaribu kwa kweli,
hahaha andike kaumiya
Ngoja tuwasaidie bulaza Nyoka, hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…