Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe ulikuwa unapotea kumbe sio wife material Kama ulivyodhani.
Ulimpenda na kuanza kufikiria ndoa akaja kukuonesha rangi yake halisi, weka hapa kisa tujifunze wazee.
Ulimpenda na kuanza kufikiria ndoa akaja kukuonesha rangi yake halisi, weka hapa kisa tujifunze wazee.