Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,584
Keep youself expensive na utakuwa expensive popote.Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Elfu 80 anaona pesa nyingi huyo maskini mleta mada mfano mtoto wa Bahkresa kaajiriwa Serikali posho ya safari elfu 80 hawezi kubali mwanawe alale ki guest house Cha elfu 40 atamlipia classic hotelKwa akili yako unadhani analipa yeye hiyo 80k?? Alafu acha kufatilia mambo ya wanawake
Naelewa zaidi hoteli za nyota nne na tanoUnaelewa tofauti ya lodge na hotel?
Kwakweli.Wanaoishi na wewe kazi wanayo tena kubwa!!
Ishia HAPOwadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor
Kwahiyo mnaonaga hatuwezi kujifanyia vitu eti!!Kwani hujui kabla hajasafiri Kuna mdau anakuwa ameshamfanyia booking na kugharamia Siku zote atakazokaa?
Hao wana masponsor 😜🙌
Una Pepo la umaskini maisha ndio haya haya lipa elfu 80 hotel ya kueleweka waweza kutana na wawekezaji au waajiri au contacts za maana kuliko hicho ki lodge cha elfu 40 unakutana na kunguniMtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Mnaweza Mkuu, ila Kwa namba huenda ni 2 kati ya 10.Kwahiyo mnaonaga hatuwezi kujifanyia vitu eti!!
Sahihi huko hata akitongozwa kwenye elfu 80 atapata MTU WA maana kuliko huko kwenye vilofa katoka navyo ofisini vilala guest za elfu 40 vibahiili vibana hela Ku saveWewe inakuhusu nini maisha ya mtu....
Hata akiamua kulala ya 130K per day unaumia nn...kwani waliompa hawajui bei za lodge...maisha yako ya kimaskini usituambukize wengine,na usifkirie kuwa bahili ndio kuwa tajiri🤣🤣🤣
Kweli, Kila mtu aishi maisha aliyoyachagua mradi hakeri wengine wala kuivunja sheriaWewe inakuhusu nini maisha ya mtu....
Hata akiamua kulala ya 130K per day unaumia nn...kwani waliompa hawajui bei za lodge...maisha yako ya kimaskini usituambukize wengine,na usifkirie kuwa bahili ndio kuwa tajiri🤣🤣🤣
Mkuu, Mimi naomba kufahamu kitu,, hivi hizi Perdiem huwa zinafanana kwa taasisi/Mashirika/Halmashauri zote za serikali..?Perdiem toka mwka jana junior ni 170 na senior ni 250. Tulikuja zanzibar mm peke yangu nililala kwenye Lodge elf 20 migombani na haikusaidia mana niliomba kuketewa nyash nikalipa 40k per night
Cc. Nyamwi255 , Lamomy mshamba_mwingine
Binadamu lazima uset standard zako, nilikuwa nikienda Mwanza La Cairo hotel nachukuwa Presidetial suite ina sitting room kabisa, mtu akija kukutembelea hotelini anaishia sitting room kuna excutive sofa na flat screen 4k, hata kama una kimeo chumbani hawezi kujuwa chochote.Mkuu Mimi maisha magumu sana lakini silali lodge ya bei nafuu Mzee.
zinakuwaga za hovyo sana privacy zero hata operation za kijinga zinafanyika huko.
MTU na heshima zako asubuhi unatrend kwenye social network ety unaojiwa na mkuu wa wilaya kwenye defender umeshikwa Kwa kosa la kuenda kununua dada poa.
nyumbani familia utaiambiaje ikuelewe mzee?!.
Wewe si ulisema wanawake hamnaga hela 🤔 AtotoKwahiyo mnaonaga hatuwezi kujifanyia vitu eti!!
Naona umeamua kupangia watu maishaMtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000 aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na ulipotoka..angalau ingekuwa umepata hela kubwa za miradi ila sio allowance za hizi activities za kila siku.. At least kidogo ukilala ya 40000 me sitashangaa.. Ila nacho fikiria hawa wadada wanakuwa na mitego yao mingine kunasa ma sponsor sio bure..
Kwenye vikao vya kikazi utasafiri usiku sawa, lakini waweza chelewa muda uliopangwa kama ni kuanza asubuhi.Gari za usiku zipo unalalaje Lodge? Safiri usiku haina kulala.
Luxury bus VVIP zipo vizuri Sana na siku izi mabus almost yote mazuri mazuri yanasafir usiku..Mnaosafiri usiku mna vipaji nlisafiri mara Moja sitakaa nirudi